Pascal mayalla aachane na yafuatayo:- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pascal mayalla aachane na yafuatayo:-

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kibunago, Jul 7, 2012.

 1. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [FONT=&amp]Akiwa ndani ya Sabasaba na PPR na baada ya kuona bidhaa fulani inayovutia katika banda la maonyesho, hukosi kumsikia akinena, "……….utafikiri vinatoka ulaya…." au atajishtua na kuuliza "………hivi kweli hivi / hizi si ready made……..?".[/FONT] [FONT=&amp]

  Kaka yangu Mayalla,[/FONT]
  [FONT=&amp]1. [/FONT][FONT=&amp]Haijalishi unafanya mzaa au unataka kunogesha kipindi chako; matumizi ya mara kwa mara (kwenye public media) ya kuona kitu kizuri unasema kinatoka Ulaya au nje ya nchi ni mabaya sana na ni dalili za ukosefu wa kuwa na mawazo mapana. Aidha matumizi hayo yanaweza kuwa na athari kwa jamii (hususani watoto na vijana) ambao wanaangalia TV na kumsikia Mwanahabari mzoefu na Mwasisi wa Kiti-Moto kama wewe unakiri kwa kinywa (by implication) kuwa vizuri vinatoka Ulaya au nje tu kwa kutoweka TAHADHALI mwanzoni au mwishoni mwa kipindi chako kuwa baadhi ya maneno yako unayoyatumia (kama hayo) ni ya kuchekesha tu na yasichukuliwe maanani. [/FONT]

  [FONT=&amp]2. [/FONT][FONT=&amp]Tena utambulisho wa ‘ready-made' kwa bidhaa zenye mvuto au ubora ni wa utata mkubwa sana. Hivi ‘ready-made' huwa ni already made toka lini na nini na nani? Je, kuna bidhaa tunazipokea toka mbinguni kama mikate iliyodondoka pale jangwani kwa wana wa Israel? Maana wao wangeweza kusema, "We received Manna prepared / processed / ‘ready- made by Allah". Kama unamaanisha ‘already processed', je ni nani alisema kuwa bidhaa zinazoonekana katika mabanda yote hayo hazijawa processed kwa namna moja au nyingine?[/FONT]

  [FONT=&amp]Mayalla angalia sana wewe ni kioo na kwa kupitia chombo kikubwa cha mawasiliano kama TV na Asasi yenu ya PPR unaweza kupotosha sana jamii kama sio na wewe pia kuendelea kujipotosha na kujiaibisha. Tafadhali achana kabisa na matumizi mabaya ya hiyo misamiati unapotangaza biashara ya Watanzania![/FONT]
   
 2. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Hii nikweli
   
 3. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni ushauri mzuri, (ki mtazamo hasi), (ki mtazamo chanya) huenda akisema hivi humaanisha kuwa surprised, na kumaanisha si ulaya peke yake wanaweza tengeneza vitu vizuri peke yao, hata Africa tunaweza, ndo maana huuliza ili muhusika akatae, ili kudhihirishia umma kuwa ni vya Africa na, waafrica wameweza.
   
 4. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Nakubaliana na mtoa mada na naomba kuongezea kuwa..tunamuomba awe balanced katika matumizi ya maneno coz kipindi chake hutazamwa na watu wa age tofauti...Ni mbaya sana kuzungumza na watu wazima kama unazungumza na watoto na ni mbaya kuzungumza na watoto kama unazungumza na watu wazima...Kiukweli me huwa na-switch kwa channels zingine kila kipindi chake kinaporushwa...Yaani kuna utoto mwingi sana, kitu ambacho sikukitegemea kutoka kwa Seasoned presenter kama yeye....Hata hivyo haya ni maoni yangu tu so kama hayana maana unaweza kuyaacha....
   
 5. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Tawire mkuu
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mna moyo mnaoangalia vipindi vya huyu bwana!
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Hi Pasco r u there?
   
 8. k

  keyjey Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes hata mi nilimuelewa hivyo,alikuwa akiuliza si kwa kumaanisha kuwa cha Ulaya ni bora,ila alikuwa anajaribu kuonesha ile kasumba jamii iliyo nayo kwamba sisi hatuwezi kutengeneza bidhaa bora na bidhaa bora lazima iwe
  imetoka nje,hivyo alikuwa anataka tu wale aliokuwa akiwahoji wathibitishie uma kwamba ni bidhaa zilizotengenezwa nyumbani.
   
 9. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Anadhihirisha ulimbukeni tulionao baadhi ya waafirka kwamba kila kizuri ni cha mzungu, kuku mzuri ni wakizungu, ng'ombe bora ni wakizungu, bata vile vile. Wakiona aliyonyong'onyea hawakawii kusema wakiswahili huyo, kama ni ng'ombe wa kimasai huyo.

  Anaboa sana hata mm nimemsikia, ajirekebishe ili jamii isipoteze imani naye.
   
 10. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mwacheni huyu bw, is sick,
   
 11. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,081
  Likes Received: 1,380
  Trophy Points: 280
  Pascal mayala anatangaza Tv gan?wakuu
   
 12. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pasco Mayalla ndio huyu Pasco wa JF??
   
Loading...