Search results

  1. sun wu

    "Cool" Changes with Time....

    70s 80s 90s
  2. sun wu

    Secrets of the Trade (Butcher)

    Wadau napenda kuja na wazo la ku-disect biashara fulani fulani ili tuweze kufahamu undani wa hiyo biashara (najua jungu kuu na humu ndani kuna wafanyabiashara tofauti).. Mfano niliongea na muuza karanga akaniambia mara nyingi shilingi huzaa shilingi kwenye karanga zake.., au muuza soda...
  3. sun wu

    History of Rap (kwa hisani ya Justine Timberlake & Jimmy fallon)

    Jimmy Fallon & Justin Timberlake History of Rap - YouTube http://www.youtube.com/watch?v=8IsyCuhFNCg You have to watch this very entertaining..
  4. sun wu

    Best Online Flash Games; No Need to Download

    Katika Games addictive, Simple na nzuri ambazo huitaji kudownload (just play online).. hizi ni baadhi:- (First Person Shooter) The Last Stand Play The Last Stand 2, a free online game on Kongregate SAS ZOMBIE ASSAULT Online Game | HYPE GAMES | Free Shooting Games Online Na ya Kupigama kama...
  5. sun wu

    K24TV; Raha Positions..

    Hii nimekutana nayo Youtube kwenye pita pita zangu... Its informative and funny (the lady in the show is a good demonstrator.) Sidhani kama ni mambo ya kikubwa bali ni educative.. although k24 wameweka 21plus.. enjoy... Connect; Mombasa Raha Positions: Part 1 Of 3. - YouTube
  6. sun wu

    Fighting to Live: Why ?

    The Question; ( Kwanini unafanya haya ?) Why am I fighting to live If I'm just living to fight Why am I trying to see When there aint nothing in sight Why am I trying to give When no one gives me a try Why am I dying to live If I'm just living to die Source; Lyrics Dying to Live Tupac ft...
  7. sun wu

    Punguza Matarijio, utaepuka Kunung'unika!

    Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed Mara nyingi maumivu au depression inawafika wengi wenye matarijio makubwa, (hata kwenye urafiki na mahusiano). Kwanini utegemee kupata wakati kukosa pia kupo; utegemee mtu wakati watu wana mapungufu. Nadhani...
  8. sun wu

    Ukimpenda; akikuacha, mbariki sio Kumchukia

    Kama kweli unampenda, furaha yake itakuwa furaha yako, ila kama unampenda kama kifaa kwa manufaa/furaha yako basi kuondoka kwake kutakufanya umtakie mabaya Ni kweli utaumia, ni kweli utam-miss lakini kumfanyia visa yaonyesha humpendi tena, na kumgangania wakati unajua hana furaha kwako...
  9. sun wu

    Was Gandhi Racist ?

    After coming across the words which were once pronounced by Gandhi and come across the narratives of Gandhi time in South Africa, It shows Gandhi dislikes of the Blacks, but one has to wonder if he disliked them because of their color or because of their culture and so called laziness, or maybe...
  10. sun wu

    Ni Kweli Tukienzi Kiswahili; Lakini Chonde, Chonde.....

    Ni mengi yamesemwa kwamba tumekuwa watumwa kwa kuchukua lugha za kigeni na Kikoloni.., wengine wamefikia hatua ya kusema kwamba kwanini Kiswahili kinatumika mpaka darasa la saba na kwanini kisiendelee kutumika hadi O-level na A-level kufundishia..? Mimi ninakubaliana nao kwa masomo kama...
  11. sun wu

    Kwanini Tanzanian Writers, Wasiandike Movie Scripts

    Baada ya kuchoka kuangalia ma-Cadillac, na AK-47 na Movie ambazo hazina uhalisia na Bongo, na kuwakumbuka watunzi mashuhuri kama Agoro Anduru (Temptations, Bed of Roses na This is Living..) na watu wenye style ya kuandika ya ki-Tanzania kama Chesi Mpilipili.. alafu nikarudi tena kuangalia movie...
  12. sun wu

    Alfalfa Seeds Needed within Tanzania

    Tafadhali naomba kama kuna mtu anaweza kupata hizi mbegu au anajua zinapatikana wapi within Tanzania.. Thanks and will appreciate any information.
  13. sun wu

    January Makamba: The Innovator, the Most Interactive, The Deputy Minister of Communication…

    Hizi ni sifa chache ambazo nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu tofauti humu Jamvini.., then I thought for such an innovative and interactive gentleman what is happening with communication at the moment, Zain : ukiwapigia watu mara nyingi simu inakatika kama mtu anakukatia Voda: Ukimpigia mtu...
  14. sun wu

    It Better to have Loved and Lost, Than Never to Have Loved at All.. (Is it Though...?)

    Msemo huu ukiuangalia kwa upande mmoja ni kweli tupu ila ukiangalia maumivu wanayopata waliopoteza lovers wao unaona una walakini... Mfano ni kama mtu alikuwa amezoea kula nyama mbichi, huyu bwana atakuwa na furaha na kuendelea na maisha yake bila shaka (lets say furaha yake ni 5points) sasa...
  15. sun wu

    The Power of Leverage; Make The Most of your Time

    Leverage the act of using people, resources or technology to increase output.... Wakuu kwenye biashara hatuwezi kufanya kila kitu wenyewe, outsourcing mara nyingi inalipa kama tu inakupatia muda wa kuweza kufanya mambo muhimu zaidi kwako na mengine kuwaachia wengine wafanye (hata kama mtagawana...
  16. sun wu

    Utaifa, Uchama na Upinzani katika Siasa za Tanzania

    Taifa Kwanza…, Chama Baadae.., Ni kauli nzito na ya kuunga mkono ambayo nimesikia wabunge wakiisema mmojawapo akiwa Zitto.., (ninakubaliana nayo kwa asilimia 100) Tusimamie serikali, ikikosea tuisahihishe, (ikifanikiwa tuipongeze).., Je kauli hii inafaa kutoka kwa mbunge wa upinzani (je chama...
  17. sun wu

    Whichever way you look at: JK ni wa Kulaumiwa

    Vyovyote vile ukiangalia kutokuwajibika kwa Mawaziri na Nchi kwenda kama kipofu mlevi.., wa kulaumiwa ni mmoja tu.., nae ni mkuu wa nchi.. Kabla sijasema ni kwanini naomba nielezee kisa kimoja cha Sun Tzu (The Art of War) kilichotokea hapo zamani Hivyo basi tutaona kwa vyovyote vile kama JK...
  18. sun wu

    Indeed, Prime Minister Needs to go: But Speaker Is a Bigger Thorn Right Now

    Ni kweli Pinda anahitaji kujiuzuru kutokana na kukosa kwake meno (ila ukweli ni kwamba, hata yule atakayekuja huenda akawa ni wale wale or even worse), Sababu hatujui kama Pinda anabanwa from the top na atakayekuja atabanwa from the top. (kwahio kujiuzulu kwa Pinda huenda ukawa ni ushindi...
  19. sun wu

    Things We Do For Love & Things we demand in name of Love

    Wote tunajua kwamba hakuna kitu mtu hawezi kufanya “in the name of love”.., iwe kuiba, kusema uongo, kufuja pesa, kutapeli… n.k. Hivyo basi badala ya kumwona anayetenda (kufuja mali, kuingia majaribuni, kulala njaa n.k.) ni mzembe / mpuuzi / wakuja / hana akili.., Inabidi kumuona yule...
  20. sun wu

    Wanna be Loved ?; Then Use what you Have.

    Wote tunajua kwamba kila mtu ana his/her strong points.., hivyo basi ili tupendeke (attract our partners) inabidi kutumia asset zetu…. Wewe kama ni mcheshi, cheka na chekesha, sio kuanza kununa. Wewe kama ni mtu wa maringo na kudeka na ulipendewa hilo basi endelea kudeka. Kama una tabasamu la...
Back
Top Bottom