It Better to have Loved and Lost, Than Never to Have Loved at All.. (Is it Though...?) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

It Better to have Loved and Lost, Than Never to Have Loved at All.. (Is it Though...?)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sun wu, May 21, 2012.

 1. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Msemo huu ukiuangalia kwa upande mmoja ni kweli tupu ila ukiangalia maumivu wanayopata waliopoteza lovers wao unaona una walakini...

  Mfano ni kama mtu alikuwa amezoea kula nyama mbichi, huyu bwana atakuwa na furaha na kuendelea na maisha yake bila shaka (lets say furaha yake ni 5points) sasa siku moja akaonjeshwa nyama ya kupikwa jamaa akafurahia sana na maisha yake yakawa bora (hapa tuseme furaha yake ikawa 10pts).. Sasa kwa bahati mbaya siku moto ukipotea kabisa na asiweze kupika tena nyama huyu jamaa atakuwa depressed yaani furaha yake itakuwa 0pts kabisa.., hata ile nyama mbichi ya mwanzo atakuwa hataki tena

  Sasa je is it better to have loved and lost than never to have loved at all?, je ni bora nionje nyama ya kupikwa (na kupata furaha hata kama ni kwa muda mfupi) au niendelee tu na maisha yangu ya kawaida sina furaha wala sina masikitiko sababu ninachokimiss sikijui

  [​IMG]
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Ignorance is a bliss......
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kupenda raha mno, kama unaweza penda hata mara 1000 na zote ukawa dissapointed.
   
 4. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  The Boss

  Lakini je si kweli kwamba love ndio fuel ya mafanikio mengi..?, nikipenda mtu tajiweka smart, nikipenda mtu nitataka nipate mafanikio zaidi ili nimfanye awe happy... Kuliko nikiwa sipendi takuwa mtu wa without worries and wont be caring.., (and not caring itanifanya niwe mediocre)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  unachosema its true

  but mimi nawajua watu ambao 'wamebadilika for good'
  sababu ya heart break.....hawaja recover

  so love is for tough people
  ukiwa weak bora usijaribu
   
 6. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye kama unaweza ndio kuna mtihani mkubwa sababu wengi huwa kwenye first dissapointment wanaelekea kwenye depression na wengine kukimbilia overdose ya vidonge...

  Alafu kila wanayempenda baada ya wa kwanza wanacompare na wa mwanzo.., hivyo kuanzia hapo inakuwa ni a slow and painfull fall to infinity
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Aisee maumivu ya mapenzi yakiwepo unatamani usingependa, lkn penzi likiwa kwenye peak everything katika maisha inakuwa na maana, hata purpose pia!

  Nimekuwa kwenye situation zote, unless kunatokea mabadiliko makubwa ya kimwili na kihisia; upweke ni shida kubwa na yenye madhara ya muda mrefu kuliko an ocassional disappointment hasa unapojua jinsi ya kunurse heart break!
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  sun wu, ndio maana nikasema kama unaweza. Ujue ukipenda 'bitterness' ya aina yeyote huondoka hutawakumbuka hata wale wa zamani walokuumiza.

  Ila kabla hujapenda na una maumivu hapo ndo waweza fanya yasiyofanyika.

  Lakini, kinachotusumbua wengi ni kufanya 'replacement' hata kabla kidonda cha awali hakijapona matokeo yake unajikuta umeanguka sehemu isiyo yako.

  Tungekuwa na utaratibu wa kujipa 'break' ili kupona nadhani ukija fanya maamuzi mengine unakuwa umetulia zaidi na uwezekano wa kuchagua a 'right erson' unakuwa mkubwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Well said Kongosho wengi hutafuta watu wengine kama njia ya kujiponyesha na kwa mtazamo wangu, kwa ajili ya urgency hutafuta wrong people hence shida hujirudia!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sometimes the hurt you get...the disappointment you incur from being in love or loving someone you thought they were worth the hussle....its better not to have loved at all
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, eti unaachwa leo kesho umeshaibua mtu mwingine lol

  ndo mwanzo kuibia karasha.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Kaunga yeah its very true yaani baada ya kulost kila kitu unakiona sio sawa kama zamani yaani everything is incomplete..., lakini (i guess it depends and how the love is lost) kuna watu yaani baada ya kupoteza their loved ones hata wakipata challenges au shida wanakumbuka jinsi mwenza wao alivyowapa courage.., wakisikiliza kitu au kuona jambo wanakumbuka walivyokuwa na mwenza wako na hicho kitu kina kuwa better with a whole different meaning.., yaani although huyo mtu anakuwa hayupo physically lakini they know kwamba she/he will forever live in their hearts na never be forgotten yaani anakuwa kama their invisible companion and guardian... and for these people the previous love give their current life a whole new meaning
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  ni kweli usemayo lakini how long is a break.., sababu wengine baada ya kuumizwa once yaani wanakuwa depressed and they don't want to give love a chance anymore..., (once bitten twice shy..) alafu hata wakipata the right person wanajikuta hawapo fair as wanam-compare huyu wa sasa na yule wa kipindi kile... and I really believe its hard to luv two people equally yaani lazima mmoja atakuwa zaidi ya mwingine.., hivyo unless huyu wa pili attachment yako iwe kubwa zaidi kwake, (kuliko wa kwanza).., nadhani deep down utakuwa unakumbuka zamani..., na hii itakuwa a case of settling for the second best...

  au unasemaje Kongosho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Life is once,if u dont practice love in this life then where else? to be hurted is part of th game!!!
  "u cant get out of this life alive"
  juc make a wise choice
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kongosho mie mbona sijaelewa :biggrin:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  [h=1]"It is better to be hated for who you are, than to be loved for someone you are not."[/h]
   
 17. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  You take love too serious, live your life the way it comes... do not stress.
   
 18. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Meaning? Unaweza ukajidanganya kuwa unaweza kuzuia moyo wako ucpende ukaamua kutafuta friend with benefits ila trust me,you wont see it coming,utastuka tu umeshaingia miguu yote. Love,achana na hiyo kitu kabisa.
   
 19. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Freema Agyeman
  Can you control the feelings..? au the alternative ni kujiweka katika situation ya kutokupenda ?, na je ikitokea umependa, furaha ya kupenda.., hata kama ni ya muda mfupi is it worth machungu utakayopata pindi umpendae akiondoka / akikuacha ?

  au unaniambia "what Love Got to do with it..." its just physical opposite attract nothing more nothing less ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mfani ukiwa na hamisi akakumwaga, na wewe ukakutana na Shabani maini yako yakapepesuka, usijivunge mpepee tu.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...