sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,432
Kama kweli unampenda, furaha yake itakuwa furaha yako, ila kama unampenda kama kifaa kwa manufaa/furaha yako basi kuondoka kwake kutakufanya umtakie mabaya
Ni kweli utaumia, ni kweli utam-miss lakini kumfanyia visa yaonyesha humpendi tena, na kumgangania wakati unajua hana furaha kwako itakuwa ni selfishness
Ni vema ukapoteza mpenzi na hata rafiki lakini sio kutengeneza adui (ukizingatia labda kakuacha kwa makosa yako mwenyewe). Kama unamchukia sasa, kama unamtakia mabaya au hata kifo ni vema ukajiuliza.., Je ni kweli ulimpenda ?
Makosa ya Leo yasifunike Furaha na Wema wa Jana ili Kesho isiwe ya Visa