The Power of Leverage; Make The Most of your Time | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Power of Leverage; Make The Most of your Time

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by sun wu, May 10, 2012.

 1. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Leverage the act of using people, resources or technology to increase output....

  Wakuu kwenye biashara hatuwezi kufanya kila kitu wenyewe, outsourcing mara nyingi inalipa kama tu inakupatia muda wa kuweza kufanya mambo muhimu zaidi kwako na mengine kuwaachia wengine wafanye (hata kama mtagawana profit ila mwisho wa siku utajikuta unafanya mengi zaidi)

  Mfano kama wewe ni mkufunzi na unaweza kufundisha mara tano kwa wiki.., hata ufanye nini huwezi kuongeza siku za wiki ili ufundishe watu wengi zaidi na kupata pesa nyingi zaidi per week..., ila unaweza kutunga vitabu vinavyoelezea mafundisho yako, au kutengeneza dvd's na movie clips zinazoelezea training zako, na hapo kwa kuuza hizo training manuals unaweza ukawa indirectly unafanya kazi 24/7 365 days a year..

  Kama wewe unapika uji na kusambaza kwa wateja wako jioni (au unatengeneza matunda na kusupply kwenye ofisi), kuliko kubania pesa unaweza ukaconcentrate kwenye kutafuta masoko na kuweka watu wa kupika huo uji na watu wa kusambaza.., ofcourse pesa utawalipa hao watu kutoka kwenye profit, lakini ni better kupata 20% ya profit kutoka kwenye nguvu za watu 10 wengine, kuliko 100% kutoka kwako peke yako.

  Kama unashona nguo na upo peke yako unao uwezo wa kuona wateja kumi unaweza uka-concentrate kwenye marketing na kuchukua orders zote zinazokuja na wewe ku-outsource kwa mafundi wengine.., hata kama unapata 10% ya pesa inayolipwa ni bora sababu energy utilized ni minimum...

  [​IMG]
   
 2. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I like it.
   
Loading...