Alfalfa Seeds Needed within Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alfalfa Seeds Needed within Tanzania

Discussion in 'Matangazo madogo' started by sun wu, Sep 10, 2012.

 1. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Tafadhali naomba kama kuna mtu anaweza kupata hizi mbegu au anajua zinapatikana wapi within Tanzania..

  Thanks and will appreciate any information.
   
 2. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2013
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mkuu Ulifanikiwa kupata hizi mbegu?
   
 3. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2013
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Watafute wakala wa mbegu Morogoro, google hili jina utapata contact zao. Pia kuna kampuni inauza/export majani yake yaliokaushwa Chang'ombe sijui wanalima wapi. Na mimi natafuta kwakweli sijapata muda wa kufatilia ila ukienda taasisi za kilimo Morogoro au Arusha unaweza ukapata au aina nyinginezo.
   
 4. s

  shinjikazola Member

  #4
  Sep 22, 2013
  Joined: Sep 19, 2013
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alfalfa ni mbegu za kitu gan ? Kama ni mbegu za kampun inayoitwa alpha hiyo naifahamu na kama ni iffa seed pia naijuwa
   
 5. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2013
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kumbe hii ilishaletwa ndani ya JF kwenye JF Doctor uzi nime update ni wa 2010, mbegu zinawezapatikana LITI Morogoro.
   
 6. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2013
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Mama Joe, yaani nazitafuta kweli kweli hizi mbegu za lucerne/alfalfa ... ni sehemu gani hiyo details zaidi mkuu
   
 7. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2013
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  hata mimi nimezitafuta muda mrefu sana Morogoro sio mgeni sana ila sijajua hiki chuo kiko wapi ni chuo kama cha Tengeru au Uyole ila nadhani mtu ukiwa Morogoro utakipata tu. Halafu kuna miti ya Leuceana (spp) Colliandra
  au Kiswahili Kalianda nayo ni mbadala nzuri sana iwapo ukikosa Lucerne. Mimi nipo mbali kwa sasa nikiweza kuupata nitaleta info hapa.
   
 8. S

  SOSTENESS J.N Member

  #8
  Sep 25, 2013
  Joined: Feb 13, 2013
  Messages: 83
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni pm ila bei usishtuke na ata ukiitaji majani mengine sema
   
 9. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2013
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mbona unatutisha kaka? tutaogopa hata kukutafuta
   
 10. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2013
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mtanipatia sh. ngapi niwaletee tarehe 5/6 October?
  Zina matumizi gani? Faida yake ni nini nami nizipande kwangu?

  Kuna kimmea fulani cha ajabu nilinunua mbegu zake kinaitwa CATNIP. Ni kimmea ambacho wanyama waliopo katika Genus inayoitwa Feline (mfano Felis domestica = paka) wanapenda sana kuuchezea kwa sababu ya harufu yake.
   
 11. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2014
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Na mimi ninahitaji hii mbegu URGENTLY...mwenye nayo naomba aniPM ASAP
   
 12. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2015
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Mbegu za Alfalfa (Lucerne) sasa zinapatikana .... tuwasiliane
   
 13. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2016
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mkuu bado hizi mbegu unazo, nazitafuta plz
   
 14. Miss Natafuta

  Miss Natafuta JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 17,321
  Likes Received: 28,249
  Trophy Points: 280
  zinavuta hela nyumbani
   
 15. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2016
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kibo seed Arusha.........zipo
   
Loading...