Wanna be Loved ?; Then Use what you Have. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanna be Loved ?; Then Use what you Have.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sun wu, Apr 12, 2012.

 1. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Wote tunajua kwamba kila mtu ana his/her strong points.., hivyo basi ili tupendeke (attract our partners) inabidi kutumia asset zetu….

  Wewe kama ni mcheshi, cheka na chekesha, sio kuanza kununa. Wewe kama ni mtu wa maringo na kudeka na ulipendewa hilo basi endelea kudeka. Kama una tabasamu la nguvu, litumie macho ya kuvutia rembua, sauti ya mvuto, ongea. Wewe kama ni mpole kuwa mpole, sio kuanza kuleta hasira zisizo na maana. ghafla.

  Kama una busara tumia busara zako, na kama alikupenda sababu ya uchapakazi na being a career woman usibadilike na kuwa dependent.

  All in all we are who we are and no one can be a better you…, be yourself and if someone loves you for who you are its better and easier (because it will be coming out naturally). Never pretend to be someone else.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kanipendea kula, acha nikule mie biriani.
   
 3. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Labda kakupendea chakula unachopika.., hivyo basi usianze kuwa mtu wa take aways na kumuachia house girl kupika (in essence point yangu ni kwamba be whom you are and do what you do to the fullest) akikupenda atakupenda wewe na sio someone you pretend to be.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mi sijui kanipendea nini nikiendeleze. Ngoja nimuulize
   
 5. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  sababu amekupenda basi amependa wewe ulivyo endelea kuwa hivyo hivyo, usibadilike just be yourself (from what I can see ni mtu mmoja charming na mcheshi sana). Usiache ucheshi wala usikubali mtu akubadilishe na kutokuwa mtu wa furaha.

  Ndio hapo yanakuja ya "siku hizi Husninyo kabadilika kweli..."
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ohh, yeah!

  Nakula ugali unga kg 1 peke angu.

   
 7. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  probably unachodhani amekupendea sicho.., kama hivyo ndivyo the only good quality am afraid labda amekupenda physical appearance.., the only problem wa kupendewa physical appearance mara nyingi it never lasts kama ambavyo usiku wa mbalamwezi huwa haudumu.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ooh! Inawezekana kanipendea hilo eeh! Tatizo sun mabadiliko ya mtu hayaji ghafla. Naweza nikapendwa ndio kwa sababu fulani ila jamaa akibadilika inaweza ikanifanya na mi nibadilike.
   
 9. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Kuliko akubadilishe wewe ni bora kuachana nae, tuseme mfano wewe strong qualities zako ni mcheshi, mchangamfu na unapenda kujumuika na watu.., (na huyu bwana akakupenda wewe...) sasa je huoni utakuwa hujitendei haki wewe wala yeye kama kwa mateso yake akikufanya ukawa mtu wa huzuni, majonzi na wivu wake akakufanya hata usiongee na watu wengine..?

  Wewe ni kama ua moja zuri sana.., kama anayekuchukua hawezi kukuangalia na anakuzibia uzipate mwanga wa jua wala kupata maji, huoni kwamba huyo ni enemy within.. ( na mwisho wa siku akuharibii maisha yako wewe tu, bali na yeye)
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Utamtia mwenzio hasara wewe. . . .
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  haijaniingia akilini, kama ananipenda na mimi ninampenda kwanini nisibadilike ili nililinde penzi langu? Kuna ulazima gani wa kucheka na watu wakati penzi linataka kufa kwa jambo ambalo waweza fanya.?
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kapenda boga, ndo apende na ua lake.

   
 13. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Kama anakupenda hawezi kutaka ufanye kile ambacho wewe ndicho kinakupa raha (sisemi kucheka cheka, labda aanze kukuzuia kuongea na marafiki zako wa zamani jambo ambalo wewe ndio lilikuwa linakufanya unapass time na kufurahia kuwepo kwako duniani). Ofcourse kama wewe unampenda utajitahidi kubadilika ili kumfurahisha ila mara nyingi unaweza ukawa dissapointed na kumchukia kwanini alikufanya uache kitu fulani.

  Kuna mifano ambayo unakuwa mtu labda alikuwa muigizaji au career woman (ila sababu ya familia na majukumu wanaacha career zao au ndoto zao ili kutunza familia) ila mwisho wa siku hawa watu unakuta wanajuta (woulda, coulda shoulda...) wanajuta kwamba labda kama nisingeacha kufanya hiki au kile ningekuwa mbali (kuna extreme hadi watu wanachukia waume zao au watoto kwamba walikatiza ndoto zao).., hivyo basi chochote ambacho kitapunguza furaha kwa mwenza wangu au kumbadilisha sio vema kukiondoa (nadhani hata ua rose bila miba litakuwa sio rose bali zile artificial kutoka china)
   
 14. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  kwahio kapenda boga na sio ua (ua ni excess baggage ambazo hana budi kuzibeba) lakini mpe lile boga na sio umyime boga na kumlazimisha kuishi na ua.
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  @sun wu, tukijikumbushia POL, naweza kuacha hata kuongea na rafiki zangu iwapo mpenzi pekee anatosha kunifanya niwe na furaha...
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ana access na boga hata kama nimesinzia lol

   
 17. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  True lakini huyo mpenzi is he worth it ambae anakufanya ufanye jambo usilolipenda, ofcourse vitu vidogo vidogo ambavyo hata wewe unajua vinaubaya (kama pombe, uzururaji, n.k.) sawa unaweza kuacha.., ila sio kitu ambacho kinakujenga wewe, yaani kinakutofautisha wewe na wengine, kitu ambacho unacho na unafanya tangu utotoni, au kitu ambacho ni ndoto yako kufanya..., kitu ambacho hata wewe alikukuta nacho na huenda ndicho kilipelekea akakupenda.

  Sasa ukiacha kuongea na rafiki zako kweli huyo mtu anakutakia mema, Je what is next kukuchagulia kazi kwamba usifanye hii au ile, au kila mgeni akija kukutembelea ananuna na kukasirika, au kukwambia unaingia sana kwenye social networks acha..., matokeo yake utaacha na ukaa tu na kuwa bored au kufuata hobbie zake ambazo huenda wewe zinakuboa
   
 18. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Hopefully we are talking about the same boga.. :)

  Na kama ni same boga kweli hilo boga halioti pengine..., au hawezi kulipata pengine.., lazima kuna cha ziada hadi akachukua hilo boga lako na sio la huyu wala yule..., Unless its an unbelievable boga (in that case flaunt the boga.., use the boga to the fullest, hoping the boga will never cease to exist) :suspicious:
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  @sun wu, upo tayari kumpoteza mpenzi wako kwa sababu amekukataza kufanya jambo ambalo linawezekanika kuacha?
  Mfano, kama unapenda kuchati na marafiki tangu utotoni ina maana huwezi kuacha kisa tu ulikuwa wafanya hivyo tangu utoto?
   
 20. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mimi dume lakini eti nina macho mazuri,najitaidi kukodoa nisionekane hivo.lakini wapi demu unisifia macho si uboya huu.
   
Loading...