Search results

  1. MD25

    Shamba linahitajika - Iringa au Njombe

    Habari wadau, kuna rafiki yangu anahitaji shamba (la kununua) lenye wastani wa ukubwa wa hekari 15 - 20. Dhumuni ya shamba hilo in kwa ajili ya kupanda mazao ya mboga mboga. Mwenye connection yoyote naomba ani PM. Asante
  2. MD25

    Russia and China signed second mega gas deal

    Russia's President Vladimir Putin shakes hands with his China's counterpart Xi Jinping President Vladimir Putin and Chinese leader Xi Jinping have signed a memorandum of understanding on the so-called "western" gas supplies route to China. The agreement paves the way for a contract that would...
  3. MD25

    Business Partner(s) required

    I am looking for business partner(s) that we can enter into supply business. I am located in Mbeya, Tanzania. I am thinking to export food stuffs (like onions, rice, maize, garlic, carrot, soya beans etc.). Any serious person who may wish to do business can check me inbox (PM). Many thanks
  4. MD25

    Business Partner(s) required

    I am looking for business partner(s) that we can enter into supply business. I am located in Mbeya, Tanzania. I am thinking to export food stuff (like onions, rice, maize, garlic, carrot, soya beans etc.). Any serious person who may wish to do business can check me in my inbox (PM). Many thanks
  5. MD25

    Sikukuu ya Eid huko USA huwaje?

    Habari za mchana wana bodi Eid Mubarak. Ningependa kujulishwa USA nao wana pumzika (Eid mosi na Eid pili) kama tufanyavyo sisi huku wa Tanganyika na Zanzibar? ================================================== Jibu la Swali Lako...
  6. MD25

    Lady doctor naomba tuwe wapenzi

    Lady doctor, kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia posts zako humu na kwenye MMU. Kwa kweli nimetokea kuvuiwa sana na wewe, unaonekana ni mwanamke unayepaswa kuwekwa ndani, una busara, unajua mwanaume anataka nini. Kwa kweli ukinipa nafasi nitashukuru sana. Nimeona nisikutumie PM, ila...
  7. MD25

  8. MD25

    Je watanzania ni wakimya sana?

    Habari wana Bodi…. Kuna maswala mengi sana yananitatiza kuhusu hii nchi yangu, ningependa tujadili wote. Madini. Nchi hii ina madini kila kona ya nchi na hiyi sio siri tena, kila mtu anajua. Sasa linapokuja swala la uvunaji/uchimbaji wa haya madini, kwa hakika hakuna sehemu yoyote ile ya...
  9. MD25

    Je watanzania ni mazezeta?

    Habari wana Bodi…. Kuna maswala mengi sana yananitatiza kuhusu hii nchi yangu, ningependa tujadili wote. Madini. Nchi hii ina madini kila kona ya nchi na hiyi sio siri tena, kila mtu anajua. Sasa linapokuja swala la uvunaji/uchimbaji wa haya madini, kwa hakika hakuna sehemu yoyote ile ya...
  10. MD25

    Tatizo la ajira kwa vijana

    Habari wana Bodi… Tunapozungumzia tatizo la ajira kwa vijana, sio tu wale ambao hawana kazi kabisa, ila inajumuisha mpaka wale ambao wapo kwenye ajira, lakini wanapata ubaguzi au manyanyaso flani flani, bila kuwa na njia ya kujikwamua. Ni muda mrefu sasa, hili swala limekua likijadiliwa...
  11. MD25

    CIPS November 2013 Examinations

    Habari wana bodi.... Ninatarajia mwezi wa November mwaka huu nifanye mitihani ya "Chartered Institute of Purchasing & Supply" katika Level 4 "Diploma in Purchasing and Supply" Dhumuni la ku-drop ujumbe huu, ni kutaka kupata kampani ya kusoma na ku-discuss. Kama na wewe unafanya au unamjua...
  12. MD25

    Mchezo wa Chess - "Chess game"

    Mimi ni mpenzi wa mchezo wa Chess, ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar, ambapo nitaweza kupata sehemu ambapo mchezo huu watu wanapenda kucheza au some sort of club ambapo watu wanacheza mchezo huu. Personal, niko competitive kwenye huu mchezo, kwa hiyo napenda kucheza na mtu ambaye...
  13. MD25

  14. MD25

    Natafuta partners kwa ajili ya kufungua ICT & Electrical Co.

    Habari wanabodi. Nimekuwa na wazo la kufungua kampuni ya ICT & Electrical Co., kwa muda mrefu sana. Leo nimeona nilileta kwenu ili tuweze kushauriana... Ninahitaji partners wawili (2), kwa ajili ya kufungua biashara niliyoitaja hapo juu. Mmoja LAZIMA awe na qualifications za ICT/Electronics na...
  15. MD25

    Hapa Dar ni sehemu gani wanauza nyama pori?

    Wana bodi. Naomba kujuzwa ni sehemu gani hapa Dar nitaweza kununua nyama ya porini? Asante...
  16. MD25

    Ushauri kwa Dr. Slaa

    Huu ni ushauri kwa Dr. Slaa kuhusu maandalizi 'maalum' ya kuchukua hii nchi. Kutokana na muitikio mkubwa wa wananchi wa lika lote kuhusu kuwatoa ccm madarakani ningependa kutoa ushauri ufuatao kwako. 1-chadema ingeandaa mpango mkakati kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015. Huo, mpango mkakati...
Back
Top Bottom