Lady doctor naomba tuwe wapenzi

Lady doctor naomba tuwe wapenzi

MD25

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
3,074
Reaction score
1,030
Lady doctor, kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia posts zako humu na kwenye MMU.

Kwa kweli nimetokea kuvuiwa sana na wewe, unaonekana ni mwanamke unayepaswa kuwekwa ndani, una busara, unajua mwanaume anataka nini.

Kwa kweli ukinipa nafasi nitashukuru sana. Nimeona nisikutumie PM, ila niandike humu, ili hata wanabodi waweze nao kunisaidia.

Lady doctor nakupenda na nahitaji nianzishe familia nawe, naomba ukubali ombi hili...
 
una balaah
 
Unaweza moto wa machalii wa Arusha???.

MD25
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mi nakusubiri wakati wa kutoa hiyo mahari...unless you're not chit chatting....

Nitamfahamu tu wakati wa kwenda kujitambulisha/kutoa maali.. Mkuu watu8 huyu binti namzimikia kutoka moyoni.
 
Last edited by a moderator:
Kijana unamfahamu tajiri,bilionea wa Arusha Arushaone?Kwa taarifa yako Arushaone ndiye mume wa Lady doctor,kuna tetesi kuwa kuna kijana alikutwa anapita tu jirani na nyumba yao ya Mbezi baadaye kesho yake alikutwa amekufa mwili wake ukionekana kama umemwagiwa tindikali!
 
Last edited by a moderator:
Kijana kuwa makini sana unapodondokea wake za watu
 
Unamfahamu bilionea Arushaone??

Huyu ndie anayemiliki hicho kifaa.

Mkuu huyu Lady doctor hababaiki na hayo mabilioni ya Arushaone. Kuna siku alikuwa ananieleza kuwa ameachana na jamaa yake kwa sababu ya ukicheche, nashukuru kwa kunijulisha kuwa Arushaone ni kicheche
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom