Hapa Dar ni sehemu gani wanauza nyama pori? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa Dar ni sehemu gani wanauza nyama pori?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MD25, Apr 23, 2012.

 1. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wana bodi.
  Naomba kujuzwa ni sehemu gani hapa Dar nitaweza kununua nyama ya porini? Asante...
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,419
  Trophy Points: 280
  Break Point ya pale Millenium na Carnival Old Bagamoyo Rd!.
   
 3. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Thanks mkuu pasco.
  Nahitaji kwa ajili ya kununua na kutumia nyumbani. Je, hapo break point si wanauza kama mboga?
   
 4. POLITIBURO

  POLITIBURO Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizo nyama pori siyo nyara? Duh! Mi simo!!!!!
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hawa jela inawaita jamaa yangu! Wee waache tu wajilengeshe hadharani na biashara yao haramu, wanadhani Maige atabaki kuwa waziri wa maliasiri milele?
   
Loading...