MD25
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 3,074
- 1,030
Mimi ni mpenzi wa mchezo wa Chess, ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar, ambapo nitaweza kupata sehemu ambapo mchezo huu watu wanapenda kucheza au some sort of club ambapo watu wanacheza mchezo huu. Personal, niko competitive kwenye huu mchezo, kwa hiyo napenda kucheza na mtu ambaye anajua kucheza vizuri.. Thanks...