Natafuta partners kwa ajili ya kufungua ICT & Electrical Co. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta partners kwa ajili ya kufungua ICT & Electrical Co.

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by MD25, Oct 30, 2012.

 1. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Habari wanabodi. Nimekuwa na wazo la kufungua kampuni ya ICT & Electrical Co., kwa muda mrefu sana. Leo nimeona nilileta kwenu ili tuweze kushauriana... Ninahitaji partners wawili (2), kwa ajili ya kufungua biashara niliyoitaja hapo juu. Mmoja LAZIMA awe na qualifications za ICT/Electronics na mwingine awe na qualifications za Electrical. Hii biashara nataka tukaifanyie Mwanza, kwa sababu Mwanza ni mji unaokuwa, kwa hiyo hata initial capital haitakuwa kubwa sana, pili uwezekano wa kupata kazi utakuwepo. Hii partnership inahitaji watu 'wazima' ambao wako serious... Tukisha kubaliana tutafanya taratibu za kufungua Co. & all legal matters ili Co. iweze ku operate. Itatupasa tukubaliane kwanza kabla ya kufungua hiyo Co. Mimi nina qualification ya B. Com kutoka UDSM, kwa sasa nipo DSM. Mtu ambaye yuko na nia ani PM. Asante.
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mimi niko serious na hiyo issue yako lakini sasa kuishi Mwanza ndo changamoto kwangu
   
 3. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Vigezo na masharti kuzingatiwa
   
 4. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Good idea
   
 5. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu nashukuru kwa kuonyesha interest... Kusema ukweli, sisi waTz tuna tatito na tuna changamoto ya kukubaliana na swala zima la utafutaji. Hii inatokana na mazingira tuliyokulia au hali ya kutokubaliana na swala zima la utafutaji. Tukiendelea hivi tutakuja kuumia. Utakuta wenzetu wa Kenya au Uganda, wanatoka huko makwao na kuja TZ kutafuta, utawakuta DSM, Mwanza, Lindi etc... Mkuu, mimi naishi DSM, nimejenga na ninafamilia, lakini kwenye swala la utafutaji unabidi UPIGANE, inakubidi UTAFUTE... Alright lakini unaweza kunisaidia kutafuta au kuwajulisha watu wengine. Thanks...
   
 6. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Thanks mkuu, if u buy it, we can join...
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,317
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa ......Dar
   
 8. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwa mkoa kama mwanza ukifanya hii biashara ni rahisi sana kufikia malengo yako mapema ukilinganisha na DSM. Pia, kwa namna hiyo, unaweza kulinganisha ukiwa na 100m Berlin au DSM, kwa hakika effect ya 100m kwa DSM ni kubwa, ndio maana tunasema wageni wanakuja Tz wakiwa na mitaji midogo, lakini baada ya muda wanaondoka na mabilioni, lakini hiyo mitaji ya 100m huko kwao haitoshi kufikia malengo yao...
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  NakuPM now
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Nina qualify kwa IT na electrical, vipi hapo!
   
 11. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu nashukuru kwa response yako. Kama una qualifications zote ni vizuri. Nitaku PM, ili tuanze mawasiliano, najua hili swala lina process ndefu lakini lazima tuanze kuhesabu 1.
   
 12. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ni kweli but due to the family issues nahitaji kwanza kukaa Dar sio chini ya miaka kumi ndo nisetle,ntakuPM namba ya mtu ambae yupo Mwanza nina uhakika mtaendana nae ni mzuri sana kwenye mambo ya IT and he has been dreaming to have his own company au hata company ya kushare
   
 13. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unahitaji watu wenye hizo qualifications? Ama wenye mitaji plus idea ya hayo mambo ili mfanye biashara? Labda sijakuelewa kidogo mkuu
   
 14. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wonderful idea mkuu
   
 15. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwa kampuni ya namna hii, mtaji wa kwanza wa partners ni technical knowledge. Pia, service company haitaji mitaji mikubwa kama trading or manufacturing company. Kwa maana hiyo, initial cash itakuwa ndogo tu. Kitu cha msingi ni technical...
   
 16. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Colorful idea
   
 17. ThePromise

  ThePromise JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I'm ready,and qualified!
   
 18. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Great idea, I had the idea am working on it now. Make sure you get "right" partners (integrity, commitment, etc)
   
Loading...