Mchezo wa Chess - "Chess game"

Mchezo wa Chess - "Chess game"

MD25

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
3,074
Reaction score
1,030
Mimi ni mpenzi wa mchezo wa Chess, ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar, ambapo nitaweza kupata sehemu ambapo mchezo huu watu wanapenda kucheza au some sort of club ambapo watu wanacheza mchezo huu. Personal, niko competitive kwenye huu mchezo, kwa hiyo napenda kucheza na mtu ambaye anajua kucheza vizuri.. Thanks...
 
Can u believe mi cjui kabisa jinsi ya kucheza hii kitu aisee,,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom