Search results

  1. Bin wamakamo

    Hekima ya Mungu kutokuwa public

    Ngoja tupeane elimu kidogo juu ya mungu na namna alivyo jificha bila kujiweka wazi Mungu kutokujiweka wazi kwanza tukubali hii ni hekma kubwa sana imetumika maybe pengine hali ingekuwa mbaya sana katika dunia mashaka yangekuwa mengi ukija kiuhalisia ukiwa mtu wa mambo yako kutoyaweka wazi...
  2. Bin wamakamo

    Kwani kuna shida gani shekhe au padri kula hela ya sadaka?

    Umezuka mjadala mkubwa sana siku za hivi karibuni kuhusu hawa viongozi wa dini padri au shekhee kula hela ya sadaka, jambo hili limeonekana ni ajabu na nikurudisha maendeleo ya mtu nyuma, maybe limeonekana kama la kitapeli, unyonyaji, ukandamizaji yaani kila namna vila mtu anaona na utashi wake...
  3. Bin wamakamo

    Kilichonikuta huku kuangaika kwetu, tukitulizege

    "Taratibu simu kiganjani naperuzi, nikiwa nimetulia zangu katika sofa, akili yangu haikuwa hata katika simu, hapo nina machungu na mahasira yamekaa katika koo toop, kila picha ya mdada iliyokuwa inajitokeza katika ukurasa wangu wa facebook nilikuwa nikiipita tu tena kwa speed kali sana, ni jana...
  4. Bin wamakamo

    Hivi hii kauli ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imeekaaje?

    Hii inshu ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imekaaje? maana imenifanya nitafakari sana kiutani lakini kwamba ukiacha kutafuta tu pesa basi tuakikishe tunafuta na akili, eeh hapo hapo tutulie kwanza kwani sisi hatuna akili? Sisi wakina abudala vichwa wazi? Tunazo! na kwanini tusisitizwe hapa...
  5. Bin wamakamo

    Porojo za Bongo

    porojo za bongo "kaka maisha magumu hayaeleweki? "hayaeleweki na hautayaelewa "kwanini unasema hivyo kaka? "kwasababu hayaeleweki "sijakuelewa kaka unani acha mbali? "lazima nikuache mbali sababu hutaki kunielewa "kivipi kaka mbona unazidi nichanganya "unajua kwanini nakuchanganya? "sijui ndo...
  6. Bin wamakamo

    Nimejaribu kuwaza tu, sisi Wanaume tungekuwa na Ashki kwa 99%

    Wanasayansi wanasema hashki ya mwanamke ni asilimia 99 kwa maana msisimuko wake katika kujamiana, hili halina pingamizi katika pande zote mbili kwa maana ya sayansi na vitabu vya dini. UKIBISHA POLE.. sasa rudi kwa sisi akina abdala ismaili, ndo tumebakiziwa hii 1% ambayo ukijumlisha pale...
  7. Bin wamakamo

    🤔

    IMAGINE umeondoka leo duniani utakumbukwa kwa jambo gani?
  8. Bin wamakamo

    😂😂

    Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani? Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu! Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi wake😂😂😂
  9. Bin wamakamo

    Sikuwai kuwa chimbo lakini nilikamatwa kwa kosa la kuwa chimbo

    Soma upate funzo Darasa la tano na miezi nane yake ilikwisha katika, masomo yalipamba moto miezi hiyo, kila mwalimu alijizatiti kumaliza topic zake kabla muda hujawa watupa mkono, fimbo zilitembea usipimee Jumatatu ya nongwa kama nilivyokuwa naiitaga ilinikuta mchalo kweli kweli kwa kipindi...
  10. Bin wamakamo

    😂😂

    Kafute lile jina kwenye kuta za vyoo vya shule uliyosoma utakuja nishukuru baadae😂😂
  11. Bin wamakamo

    Kinachotuua Waafrika si dini 🤔

    Unajua wenzetu wanaangalia sana mustakabali wa vizazi vyao, wapo radhi kufitinisha taifa wakauwana mwenyewe kwa wenyewe, wapo radhi kuwatumikisha watu pasi na haki zake, kuua pia, kuzurumu na vitu vingi tu yote ni kwa sababu ya vizazi vyao. kinyume na afrika, nazani hii ni sababu kubwa inayo...
  12. Bin wamakamo

    Chanzo cha usafiri wa Umma kuitwa daladala

    Nimesimuliwa Chanzo cha usafiri wa umma kuitwa daladala. Wakongwe muje hapa. Alinihadithia babu kuwa zamani miaka ya nyuma kidogo kipindi usafiri wa magari kwa umma umeshamili hasa maeneo ya Dar es salaam basi asilimia kubwa ya nauli iliyopagwa na mamlaka husika ilikuwa ni shilingi dala...
  13. Bin wamakamo

    Tusiitupe misaada yetu

    Jambo baya lisilo pendeza kabisa ni kutupa misaada yetu kwa ndugu zetu wanaojipatia riziki kwa kutegemea misaada kwetu, kutokana na changamoto mbali mbali zinazo wakabili, kiuhalisia hata wewe ukipewa pesa au kitu chochote kwa ajiri ya msaada kwa kutupiwa utajihisije? nadhani unaanza fikilia...
  14. Bin wamakamo

    cheka seke seke la kitaa

    Seke seke la kitaa Na bindondora ************ "Yule jamaa katoka sauz ni mgeni kabisa hapa tz , sasa nasikieni karudi na mapuri ya bange kibao" "Sasa sie tunavuta bangi? Akazungumza kwa zarau mwana kijiwe mmoja aliyeketi mwisho kabisa mwa benchi. "Wewe mwehu kumbe maada gani za kuleta kijiweni...
  15. Bin wamakamo

    wanawake wa Dar na viwango vyao

    Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya hela: Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitwa jina lako tu. Good morning Kelvin, Hello Kelvin how is your day? Good night Kelvin. Ukiwa unampa kati ya 100,000 na 150,000 utakuwa unaitwa dear. Morning dear, umeamkaje dear? Dear umekula? Usiku mwema dear...
  16. Bin wamakamo

    Soma upate funzo

    Sikuwai kuwa chimbo lakini nilikamatwa kwa kosa la kuwa chimbo Soma upate funzo Darasa la tano na miezi nane yake ilikwisha katika, masomo yalipamba moto miezi hiyo, kila mwalimu alijizatiti kumaliza topic zake kabla muda hujawa watupa mkono, fimbo zilitembea usipimee Jumatatu ya nongwa kama...
  17. Bin wamakamo

    Umeota nini?

    umeota nini? niambie ulichoota nikutafsirie maana ya hiyo ndoto.[emoji5][emoji5]
  18. Bin wamakamo

    Muulize mshawishi wake Mkubwa ni nani?

    Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani? Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu! Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi wake[emoji23][emoji23][emoji23]
  19. Bin wamakamo

    Movie ya Sema

    Katika movie za kibongo ambazo binafsi zilinikonga roho ni hii sema ni movie ambayo haiongelewi saaana ukiaangalia uta-enjoy nakama si mtu wa kuelewa haraka pia itakuchanganya , naweza sema ni movie bora toka afe kanumba hakukuwai kutokea movie kalii kama hii kwangu. Hii movie kacheza "Hassan...
  20. Bin wamakamo

    Ukitaka kujua kuwa mpenzi/mkeo ni mzuri

    Ukitaka kujua kuwa mpenzi/mkeo ni mzuri jalibu tu siku mutoke hakikisha yeye amependeza then muende sehemu zenye mkusanyiko wa watu kisha usitembee nae karibu muache urefu wa mita tu utakuja nipa majibu[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom