Kwani kuna shida gani shekhe au padri kula hela ya sadaka?

Bin wamakamo

Member
Dec 12, 2021
77
92
Umezuka mjadala mkubwa sana siku za hivi karibuni kuhusu hawa viongozi wa dini padri au shekhee kula hela ya sadaka, jambo hili limeonekana ni ajabu na nikurudisha maendeleo ya mtu nyuma, maybe limeonekana kama la kitapeli, unyonyaji, ukandamizaji yaani kila namna vila mtu anaona na utashi wake.

Lakini mimi kwa mtazamo wangu sioni kama ni jambo baya, ikiwa kila kitu anaongoza na kwenda vile inatakiwa kutumia maandiko na shuhuda za watu namna wamebadilika, kupitia wao wengi wamebadilika na kuwa na mustakabali mzuri wa maisha mtu huyu kweli astahili kulipwa?

Kama unavyoo mlipa daktari kukutibia, kwakuwa wamejiweka katika upande wa imani na imani sikulazimishwa, ndio maana tunawaeka katika fungu la wanafanya kujitolea? kujitolea who? wewe unaweza kafanya kazi kujitolea maisha yako yote? hivyo ndiyo namna wanaishi kupitia sisi si sawa kuwa kashifu wanapotumia asilimia flani ya sadaka zetu.

Kupitia hawa viongozi, watu wengi maisha yao yamebadilika kiasi hata thamani ya range 10 isinge weza baadilisha maisha yao.

Tupe mtazamo wako!
 
Kuna watu hutoa sadaka za moja kwa moja kwa mtumishi wa Mungu...

Mfano; wengine hununua gari, viwanja, nguo, vyakula nk...

Wengine hata kuwajengea nyumba ..

Hizo sadaka ndio zinawafanya waonekane wanamafanikio makubwa...

Nb: Sio wote
 
Back
Top Bottom