😂😂

😂😂

Bwana Bongo

Senior Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
167
Reaction score
239
Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani?

Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu
Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu!

Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi wake😂😂😂
 
Hawa viumbe huwa hawatabiriki hata kidogo.
Mtu ambaye ana uwezo wa kucheka kicheko Cha huzuni na kulia machozi ya furaha 👉 MWANAMKE achana naye kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom