Bin wamakamo
Member
- Dec 12, 2021
- 77
- 92
Ngoja tupeane elimu kidogo juu ya mungu na namna alivyo jificha bila kujiweka wazi
Mungu kutokujiweka wazi kwanza tukubali hii ni hekma kubwa sana imetumika maybe pengine hali ingekuwa mbaya sana katika dunia mashaka yangekuwa mengi
ukija kiuhalisia ukiwa mtu wa mambo yako kutoyaweka wazi kwanza utaepuka changamoto nyingi zisizo lazima na mara zote watu ambao mambo yao awayaweki wazi wanaongoza kwa kupiga hatua
acha tu na kiongozi wa dunia kujiweka sehemu ambapo hautaweza kujua anafanana vipi, njoo kwa hawa viongozi wanao ongoza nchi n.k angalia doubt juu yao angalia kosoa angalia chuki, iko hivyo sababu binadamu tunapenda kuangalia makosa tu asilimia kubwa na hilo mungu anajua
kitu kikishakuwa public kwanza kinapoteza mvuto wa utukufu wake, kungekuwa na uwezekano wa kumuona mungu hali ingekuwa mbaya sana, pengine angepoteza watu wengi ambao wasingeweza kuwa na imani nae hata chembe, haimanishi kwamba yeye anahofu kuwapoteza
lakini yeye kutoweka kila kitu chake hadharani iyo ni hekma kubwa na still dunia inakwenda sawa kabisa kwa kuwa yeye ni mwingi wa hekma
mfano mdogo tu mungu atoke wazi wazi aseme mimi ndiye mungu wewe unaedoubt kwanini asijioneshe utamuamini?
hivi vitu hata aviumizi kichwa ni uhalisia tu.
#wamakamo