Bin wamakamo
Member
- Dec 12, 2021
- 77
- 92
umeota nini?
niambie ulichoota nikutafsirie maana ya hiyo ndoto.
niambie ulichoota nikutafsirie maana ya hiyo ndoto.
ex wangu kafa lakini nimeenda msibani nimeambiwa washazikaumeota nini?
niambie ulicho ota nikutafsirie maana ya hiyo ndoto...
zidisha mapambanooNimeota ndevu ina maana gani
majukumu yajaaNakimbizwa na simba-juzi
Kwni niko ukraine moka nianze maoambano mkuu nifanyeje nishaurizidisha mapambanoo
aina maana hyoex wangu kafa lakini nimeenda msibani nimeambiwa washazika
sawa sheikh sharif majini hiyo ndoto ina maana ebu na wewe lala utakachoota niambie nikutafsirieaina maana hyo
kama umeota leo tu nikawaida aina maanaNimeota nimepewa ela za T.I(rappa wa marekani) halafu tulikuwa tumekaa naye nakula chipsi....pia kulikuwa na marafiki zangu wa long time toka skuli, tunasalimiana na kula bata. Hiyo ni usiku wa kuamkia leo.
ndvy ilivyosawa sheikh sharif majini hiyo ndoto ina maana ebu na wewe lala utakachoota niambie nikutafsirie
Yani nimeandika yote hayo halafu unakuja kujibu nyoko? Aseee...dogo utakula za chemba.kama umeota leo tu nikawaida aina maana
kuna watu unapaswa kujiepushana naoTuko boarding tunapigania ndoo za kuogea, halafu nyingi zimepigwa makufuli chini ya vitanda.
ila kukawa na ndoo moja imezubaa ila tukiikimbilia tu mwenye nayo anatokeza from nowhere, halafu tunaiacha.
Tunarudi kutafuta tena baadae tuaniona tena ile ndoo imezubaa....tukiifuata tu, mwenye nayo anatokea from nowhere, yani kama anatutega vile
kuna sehemu unapoteza mudaaNdoto nyingine Huwa nawaza sijamaliza form six, na Cha ajabu wakati huo huo naota nimemaliza chuo. Kwa ndoto najiuliza nimefikaje chuo wakati sijaua six. .
Ina maana Kuna part au life ya form six nakuwa nimeiruka au naiishi ndotoni. Hii ndoto kwa sasa nimeiota zaidi ya mara nane. Kwenye ndoto nakuwa mzito kusoma na unakuta zimebaki siku mbili mtihani bado nakuwa mgumu kusoma najiambia nitatoboa tu. .
Shida hii ndoto inanisumbua kisaikolojia very bothering. .
Mapambano ya kuzinyoa au kuzipaka piko?zidisha mapambanoo