Search results

  1. Nguku Wakabange

    Mbegu zipi za mahindi za DK zinafanya vizuri?

    Wanajamii habari zenu wote. Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa tunamwelewa kwasababu huwa anatoa uhalisia wa mambo ambapo hata msomaji anarithika kabisa. Ndugu...
  2. Nguku Wakabange

    Kujenga na kilimo kipi kitangulie?

    Ndugu wanaJF poleni na majukumu. Vijana wengi huwa tunaumiza sana vichwa tena mara pengine tunashindwa kufanya maamuzi sahihi. Nakumbuka kunawosia nilipewaga na mzee mmoja lakini ukiangalia inamashiko kiasi flani.. Huyo mzee aliniuliza niko na miaka mingapi wakati huo nataka kujenga kijinyumba...
  3. Nguku Wakabange

    Mwenye kufahamu udongo wa mbuga nyeusi Kondoa (Kambi ya Moto)

    Ndugu wanajamii forum habari za hapa wapambanaji wenzagu: Nawaombeni msaada kama kuna wadau wana fahamu maeneo ya udongo wa mbuga nyeusi yenye kufaa kilimo cha dengu maeneo ya Kondoa maana kuna rafiki yangu kanidokeza kuna eneo linaitwa Kambi ya Moto lakini yeye pia haijui vizuri ni ameambiwa...
  4. Nguku Wakabange

    Kipi ni dhahabu kati ya Dengu vs Alizeti?

    Habari zanu wadau wa JamiiForums, Poleni na shughuli za kila siku za kujenga uchumi wetu. Leo naombeni msaada wenu wa kunitoa matongotongo kuhusu kilimo kipi kinalipa/au kisicho na usumbumbu mkubwa pia stahimilifu (weather tolerance) kati ya Dengu au Alizeti). Wadau najua kuna trends nyingi...
  5. Nguku Wakabange

    Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Wataalam mlioko makini naombeni msaada wenu. Natumai mu wazima na harakati za kujenga Tanzania yetu. Mimi nimeingia kwenye kilimo mwaka huu na kwa kuanzia nililima mahindi, na hatua ya kwanza nimefanikiwa pakubwa. Ila nawaza kujiingiza mzimamzima kwenye kilimo, kila nikiwaza ni kilimo gani ina...
  6. Nguku Wakabange

    Nguruwe wangu ametokwa na mapele kuzunguka titi

    Habari za hapa wanajamii forum!! Naombeni msaada wenu kwa wanaojua tatizo la nguruwe aliekaribia kuzaa (amebakiza wiki 1) kutokwa na mapele kuzungukia titi. mapele haya yalikuwa na hali tofauti yalipo anza ukigusa mengine magumu na mengine malaini lakini hayatoi usaha na cha ajabu sahivi...
Back
Top Bottom