Nguku Wakabange
Member
- Oct 27, 2021
- 61
- 112
Habari zanu wadau wa JamiiForums,
Poleni na shughuli za kila siku za kujenga uchumi wetu. Leo naombeni msaada wenu wa kunitoa matongotongo kuhusu kilimo kipi kinalipa/au kisicho na usumbumbu mkubwa pia stahimilifu (weather tolerance) kati ya Dengu au Alizeti).
Wadau najua kuna trends nyingi zinazohusiana na Dengu na Alizeti lakini naombeni mliopitia field za kilimo zote mbili kama mpo tusaidieni faida na changamoto za kila moja ya hizi ili itusaidie kwenye harakati za ukombozi wa uchumi.
Natumaini mtatushauri vizuri kwanin mkulima nilime Dengu na si alizeti au kinyume chake.
Ahsanteni kwa kuja kutoa mawazo yenu mazuri.