nyeusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Ila ngozi nyeusi 😂

    Mtoto anaenda kisoma computer science chuo kikuu baba mkulima wa mkonge kwanini asisome kilimo akamsaidia baba yake kuongeza uzalishaji wa mazao? Nyumbani hakuna hata laptop hata ya kuchomelea tu that is wasteful of time my ninga Baba fundi cherehani mtoto anaenda kusomea family care inamsaidia...
  2. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hii video ya wasira inaonyesha taswira halisi ya ngozi nyeusi

    Msikilizeni huyu mzee akipigania ubunge dhidi ya Ester
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Kijana adaiwa achukuliwa na wasiojulikama wakiwa wamevalia mask nyeusi

    Vijana tembeeni na Silaha na mlinde ndugu zenu. Mkishindea mtaisha wote
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Akili Nyeusi: Siri za watu wanaocheza na mawazo na malengo yako

    AKILI NYEUSI: SIRI ZA WATU WANAOCHEZA NA MAWAZO NA MALENGO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shuleni ulifundishwa Masuala la Chemical reactions, ulifundishwa natural selection, ulifundishwa Frictions. Maisha ni vita, au reactions simple unazoziona kimwili na kiroho na complex. 1. Kuna...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wilbroad Slaa: Kesho kila mtu avae nguo au kitambaa cheusi kama ishara ya kuwa yuko pamoja na Tundu Lissu

    Wakuu, Akizungumza kwa njia ya mtandao Wilbroad Slaa ametaka Watanzania kuvaa nguo nyeusi ili kuonesha kumuunga mkono Tundu Lissu hasa siku ya kesho ambapo kesi ya Lissu itakuwa inasikilizwa "Asubuhi kesho vijana wavae nguo nyeusi ishara ya kuonesha kuwa huyu Jemdari wetu tuko pamoja nae"
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kodi nyeusi (Black Tax) ni kizingiti kikubwa sana cha utajiri kwa kijana Mwafrika mweusi

    Kitu kimojawapo kinachowafanya wazungu kuwa halisi sana(real) na wenye uthubutu ni kwa sababu ya mfumo wao wa maisha ambapo wazazi na ndugu hawategemei misaada au matunzo kutoka kwa watoto na ndugu wengine. Hali huwafanya waweze kutengeneza mitaji na uthubutu kufanya mambo mbalimbali hata ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Credit Rating Agency kama Fitch na Moody`s hawawezi kuipendelea Tanzania wao kama ni nyeusi wanaita nyeusi hata Marekani wanaishusha

    == Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, amesema kuwa Tanzania imepimwa na wakadiriaji wakubwa wa uwezo wa kifedha wa kimataifa kama Moody’s, Fitch na Standard & Poor’s, na wote wamethibitisha kuwa uchumi wa Tanzania ni imara, himilivu na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kuna dili (zikiwemo nyeusi) za kupiga mshindo moja dola laki 1 (milioni 270) ?

    Nje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,) Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ? Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna ngozi nyeusi yoyote duniani atakaekubali kutoka kama alivyoingia.

    Hata masikini wa kijijini kwake waliokuwa wanalalamika kurubuniwa huduma tena watakuwa wanamsimanga utafikiri wanamcheka kwa nini hakuiwaibia vya kutosha. MENTALLITY ⚡⚡
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini LAND CRUISER 300 ZX nyeusi?

    Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe. Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe. Nimeona pia viongozi wengi wanaotumia LC 300, magari yao ni rangi nyeusi. Naomba kufahamishwa...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania As of april 2, 2025, hawa ndio watu wenye ngozi nyeusi wanaoongoza kwa utajiri duniani.

    1. Aliko Dangote Utajiri: $23.9 billion | Chanzo: Cement, sugar | Citizenship: Nigeria 2. David Steward Utajiri: $11.4 billion | Chanzo: IT provider | Citizenship: U.S. 3. Robert F. Smith Utajiri: $10.8 billion | Chanzo: Private equity | Citizenship: U.S. 4: Alexander Karp Utajiri: $8.4...
  12. Suip

    JamiiForums Tanzania Kuuliza sio ujinga,hizi kokoto nyeusi na nyeupe?

    Naomba kuuliza wadau wa ujenzI kuna hii kitu,nadhani ni kokoto iliyozungushwa kuzunguka msingi wa nyumba,naona ni kama kokoto nyeusi na nyeupe au ni kokoto imepuliziwa rangi nyeupe na nyeusi? Nawasilisha kwa anayejua hii kitu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: FURSA YA KUSHIRIKIANA KATIKA BIASHARA YA KIWI NYEUSI

    Unatafuta fursa ya kuwekeza katika biashara yenye bidhaa inayotembea? Tunatafuta mshirika wa biashara kwa ajili ya bidhaa yetu ya kiwi nyeusi kwa viatu! ✅ Masoko yetu kwa sasa ni wanafunzi – wateja wa uhakika! ✅ Sehemu ya uzalishaji ipo tayari. ✅ Package zipo tayari kwa usambazaji. Tunahitaji...
  14. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Nina tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyenye rangi nyeusi

    Asamaleko wadau Mimi nina hii tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyeusi. Pengine kama inakuwa na sababu fulani naweza kupata jibu hapa. Tangu enzi nanunuliwa mavazi nilikuwa napenda sana nguo nyeusi, Viatu ndiyo kabisa.. Lakini pia tangu nimeanza kuwa mimi Mfumo wa maisha yangu haujawahi...
  15. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Harusi Nyeusi :Support needed

    Wakuu, Naomba tu support kazi ya binti yetu ametoa single inaitwa “Harusi Nyeusi”. Please share and repost Tik tok https://vt.tiktok.com/ZS6hUK76M/ Instagram https://www.instagram.com/reel/DEHJ4Jgvij8/?igsh=MTBhYjNsYmdvN3dpNQ== Audio nime attach hapo chini. Asanteni sana watu wangu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Issue ya Diamond huko Kenya nimegundua Kenya baadhi ya watu wana roho nyeusi

    Miaka yote nimekuwa nikiwafuatilia hawa majirani zetu na sikuwahi kuona with clean heart. Jamaa wamekaa sana Chuki mioyoni na Unafiki.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wazazi wajaa Shule ya Mburahati kuwachukua Watoto, hofu ya kutekwa baada ya Noah nyeusi kuonekana

    Baadhi ya Wazazi na Walezi wenye Watoto katika Shule Msingi Mburahati wamefika shuleni hapo mchana wa leo Julai 22, 2024 kwa lengo la kuwafuata Watoto wao kutokana na hofu iliyotanda ikidaiwa kuna Watu wanania ya kuwateka Inadaiwa kulitokea gari ain ya Noah nyeusi ambayo haina namba iliyokuwa...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Unataka kutoa michirizi nyeusi kwenye mapaja nna sehemu zinginezo fanya hivii unishukuru

    chukua ndizi 2 Penda pondaa Chukua dawa ya mswaki unayoiua colgate etc vijiji 2 chukua sukarii vijikooo 2 changanyaaaaaaaaaaaa paka asbh na jion nipe mrejesho
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji asema wameanzisha Kampeni ya kukusanya chupa za rangi nyeusi, wameshakusanya tani 21

    Video kutoka kwa Mohamed Dewji "MO" Mwezi uliopita, tulizindua kampeni ya kuongeza ukusanyaji wa chupa za rangi. Tulikusanya tani 21 za chupa nyeusi kwa ajili ya kuchakata! MeTL ni fahari kuwa mwanachama wa Petpro, shirika la wajibu wa ziada za wazalishaji wa chupa za PET kwa ajili ya...
Back
Top Bottom