Mwenye kufahamu udongo wa mbuga nyeusi Kondoa (Kambi ya Moto)

Oct 27, 2021
61
112
Ndugu wanajamii forum habari za hapa wapambanaji wenzagu:

Nawaombeni msaada kama kuna wadau wana fahamu maeneo ya udongo wa mbuga nyeusi yenye kufaa kilimo cha dengu maeneo ya Kondoa maana kuna rafiki yangu kanidokeza kuna eneo linaitwa Kambi ya Moto lakini yeye pia haijui vizuri ni ameambiwa tu.

Naombeni mnipe majina ya maeneo yenye udogo wa mbuga nyeusi yenye kufaa Dengu kondoa pia mwelekeo(directions) ya hayo maeneo.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Wewe uko wapi, Niko mkoa WA Geita tafadhali tuwasiliane nahitaji joint venture Maeneo yapo hukuhuku.
 
Wewe uko wapi, Niko mkoa WA Geita tafadhali tuwasiliane nahitaji joint venture Maeneo yapo hukuhuku.
Nipo Arusha, ila huko ni mbali kwa mwaka huu pengine mwakani nije kujipanga kulima huko vipi shamba kukodi ni bei gani huko kwako
 
Naombeni mnipe majina ya maeneo yenye udogo wa mbuga nyeusi yenye kufaa Dengu kondoa pia mwelekeo(directions) ya hayo maeneo.
Ni kweli unataka kulima dengu au una kampango ka pembeni kutoka pale Kondoa?, maana, kama ni dengu inalimwa pale Kibaigwa barabarani kabisaaaaaaaa
 
Ni kweli unataka kulima dengu au una kampango ka pembeni kutoka pale Kondoa?, maana, kama ni dengu inalimwa pale Kibaigwa barabarani kabisaaaaaaaa
Issue najaribu kutafuta location iliyo karibu na mishe mishe zangu maana huku maeneo ya Manyara na Arusha bei za mashamba ni kubwa
 
Back
Top Bottom