Nguku Wakabange
Member
- Oct 27, 2021
- 61
- 112
Wataalam mlioko makini naombeni msaada wenu.
Natumai mu wazima na harakati za kujenga Tanzania yetu. Mimi nimeingia kwenye kilimo mwaka huu na kwa kuanzia nililima mahindi, na hatua ya kwanza nimefanikiwa pakubwa. Ila nawaza kujiingiza mzimamzima kwenye kilimo, kila nikiwaza ni kilimo gani ina projections nzuri ya faida bado sijashawishika sana.
Kwasababu bei ya mazao huwa inapanda baada ya kuhifadhi kwa angalau muda fulani ukisubiri soko liamue vinginevyo. Sasa nimefanya upembuzi yakinifu wa kilimo lakini bado sijapta majibu sahii ya nini ina bei nzuri na kwa wakati gani ili mkulima uweze kupata faida ya kile ulicholima.
Mwanzoni nliwaza kupanda alizeti lakini ilifanya interview na wakulima wa maeneo tofauti tofauti nikaamua niache alizeti nikapanda mahindi lakini nlichogundua wakati wa mavuno bei ya mazao hayo ni kama sawa (36000 - 40000) na ili uweze kupata bei nzuri ni lazima uhifadhi kwa angalau miezi 4-8 baada ya kuvuna.
Kwa mliolima kabla yangu wakati mimi nazurura naombeni msaada, wapi kunauafadhali maana bado natafakari kwa muhula mwingine wakati nikiendelea kuchoma mahindi hapa, nkiwa nimetulia lakini soko nzuri sijui liko wapi?!
Asanteni kwa ushauri wenu mzuri wapendwa.