Search results

  1. size 96

    Mama kama Mama na uongozi wake

    Wakuu heshima kwenu aisee nimemkumbuka baba japo alikuwa mkali ila umuhimu wake ulikua mkubwa sana malezi ya mama sasa eeeh atuna budi kufuatisha yale anayo tuambia mama. - Nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi vipi uko tunaomba mrejesho kote bara na visiwani tujue. - tozo mbona atuambiwi...
  2. size 96

    Wakuu msaada tafadhali

    Nahitaji kujua masoko ya soya ya ndani ya nnchi pia mwenye kujua jinsi ya kupata masoko nnje ya nnchi bei ya soya kwa kilo tafadhali ani pm tufanye biashara Mzigo uliopo ni tone 5000
  3. size 96

    Hotuba ya Rais Samia yenye tabasamu kwa watanzania iliyo beba kiza cha maendeleo ya nnchi

    Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa sehemu muhimu na nyeti kaona kua sisi wananchi wachini hatuna hela mama kaaidi kuweka mazingira mazuri...
  4. size 96

    Natafuta kazi au kibarua chochote kile, nina Diploma ya Kilimo

    Mimi ni kijana mwanye kiu ya kujikwamua kiuchumi natafuta kazi elimu yangu ni Diploma ya kilimo kwa ujumla yani General Agricultural nimeshaweka thread umu JmiiForums. Naombeni msaada kazi yoyote halali ata nnje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya kwa weledi wa hali ya juu.
  5. size 96

    Biashara ya kuuza kuni

    Kama nilivyo eleza juu apo naomba kujuza kuhusu biashara ya kuuza kuni kwa Dar vibali changamoto na soko lake kiujumla.
  6. size 96

    Msaada: Tatizo la mtoto wa siku tatu kushindwa kunyonya

    Wakuu heshima kwenu, Naombeni msaada wa haraka! Bado nipo hospitali ila ningependa kujua ili nibadili hospitali ikiwezekana. Ni siku tatu sasa toka mtoto azaliwe lakini anashindwa kunyonya, tatizo linaweza kuwa nini? Naombeni msaada kwa wajuzi na wenye hii taaluma. Sent using Jamii Forums...
  7. size 96

    Naomba kujuzwa kuhusu umiliki wa Dizzim TV na Dizzim TV

    Wakuu, kama uzi unavyojieleza hapo juu, napenda kujua umiliki wa DIZZIM naona kabisa kua nayo ina iwekezaji wa Diamond Platniumz ndani yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. size 96

    Nauza mashamba

    wakuu habari zenu Kama uzi unavyo jieleza apo juu kwa yoyote anae hitaji shamba yapo mawili sehemu moja ila yametenganishwa tu na barabara moja Ni ekari 300 na lingine ni ekari 200 kwa Kila eka moja ni laki mbili na nusu (250000) mashamba yapo sumbawanga eneo zuli kando ya barabara na linafaa...
  9. size 96

    Mjini kumenoga; Harmonize kufanya interview Clouds Fm

    Naona Kama Clouds wanaongeza mashambulizi zidi ya Mond baada ya Kiba Asley na Mario kushindwa wameamia kwa mmakonde tatizo la Clouds wanakusifia na kukupoteza Harmonize anakosea sana kwa anayo yafanya atapotea tu.
  10. size 96

    Mabaharia tu piteni hapa

    Kuna group letu mabaharia tukutane kujadili bei za bidhaa yetu
  11. size 96

    Habari wana jf nombeni msaada tafadhali

    Kwa yoyote aliepo Dar es Salaam na anamiliki shamba sehemu yoyote ile ya Dar na shamba limemshinda kwenye usimamizi Liwe shamba la mifugo Au shamba la mazao yoyote yale Kijana wenu naomba ajira ya usimamizi wa mashamba yenu taaluma yangu ni kilimo na mifugo pia Kama unashamba lenye vijana...
  12. size 96

    Wakuu heshima kwenu

    Naombeni msaada wa app ya ku dawnload movie
  13. size 96

    WIZARA YA AFYA TUNAOMBA MTUSAIDIE KWA HILI TUMECHOKA

    wakuu poleni na majukumu nimeleta uzi huu nikiwa naimani wahusika wapo ambao wanatumia jf Wilaya ya chunya ni moja ya wilaya kongwe Sana apa nchini lakini chakushangaza hospitali yetu haifanyiwi maboresho yanayo endana na hadhi ya wilaya yetu huduma za hospitali yetu ni mbovu mno wafanyakazi wa...
  14. size 96

    Naliona anguko la Harmonize tangu kujitoa kwake WCB

    Wanazengo poleni na majukumu nimemfikiria sana huyu dogo naona anapotea vibaya sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazozifanya sidhani kama zitazaa matunda. Hivi kweli kiburi anachopata kwa hela za ukweni kitamfanya awe juu zaidi ya Mondi? Jibu ni hapana siku tu wakiachana na Sara...
Back
Top Bottom