Wakuu msaada tafadhali

Wakuu msaada tafadhali

size 96

Senior Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
133
Reaction score
158
Nahitaji kujua masoko ya soya ya ndani ya nnchi pia mwenye kujua jinsi ya kupata masoko nnje ya nnchi bei ya soya kwa kilo tafadhali ani pm tufanye biashara Mzigo uliopo ni tone 5000
 
Hapa ndiyo tunapokwama wakulima.umeandaa mzigo wote huo hujui soko lilipo?
 
Back
Top Bottom