size 96
Senior Member
- Aug 31, 2019
- 133
- 158
wakuu habari zenu
Kama uzi unavyo jieleza apo juu kwa yoyote anae hitaji shamba yapo mawili sehemu moja ila yametenganishwa tu na barabara moja Ni ekari 300 na lingine ni ekari 200 kwa Kila eka moja ni laki mbili na nusu (250000) mashamba yapo sumbawanga eneo zuli kando ya barabara na linafaa kwa kilimo cha mahindi maharage alizeti ngano nk kwa anae hitaji ani pm
Sent using Jamii Forums mobile app