Mama kama Mama na uongozi wake

Mama kama Mama na uongozi wake

size 96

Senior Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
131
Reaction score
158
Wakuu heshima kwenu aisee nimemkumbuka baba japo alikuwa mkali ila umuhimu wake ulikua mkubwa sana malezi ya mama sasa eeeh atuna budi kufuatisha yale anayo tuambia mama.

- Nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi vipi uko tunaomba mrejesho kote bara na visiwani tujue.

- tozo mbona atuambiwi sikuizi kua zimepatikana kiasi gani na zitafanya nini mwenye taarifa na tozo.

- January alituambia miaka mitano ya baba mitambo haikufanyiwa marekebisho yeye kafikia wapi na marekebisho mana umeme unakata tu au ndo mitambo nayo ilikua inamuogopa baba

- Greyson msigwa vipi ndugu yangu enzi za baba ulikua kifua mbele kueleza yale anayo fanya baba saizi umekua bakita unatufundisha kiswahili mbona utuelezi kwa kina miradi anayo fanya mama.

- Nape vipi ndugu au bado unakitete unakumbuka walio kuonyesha bastola watanzania kutwa wanalalamika kuusu vifurushi kupanda bei bundle kuisha bila yawao kujua na upo tu utoi tamko lolote

- Mama mfumuko wa bei kwamba wewe huoni mbona atusikii tamko lako mama

- Kunavitu vinauma ila tuumize wachache kwa manufaa ya watanzania funga ata mipaka ili upunguze makali ya maisha kwa watanzania kwa kuzifanya nafaka izoizo kiasi kidogo tulizo nazo zitunufaishe (bei ya sembe kwenu shingapi uko wakuu).

- Wameongezeka wengine tena mama wamemaliza juzi tu apo ni vijana wanao hitaji ajira vipi zile unazo ziaidigi umetoa ngapi mbaka sasa

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Ila wakati mwengine Tanzania yangu inasikitisha. Eti mitambo na miundo mbinu ya Tanesco ilikuwa inamuogopa JPM. Alipotwaliwa tu ikanza kuleta figisu figisu
 
Ila wakati mwengine Tanzania yangu inasikitisha. Eti mitambo na miundo mbinu ya Tanesco ilikuwa inamuogopa JPM. Alipotwaliwa tu ikanza kuleta figisu figisu
Si ndicho walicho sema ivi taarifa za bwala la nyerere sikuizi mbona zipo kimya ata TBC tu wameacha kuonyesha zile makala zinazo elezea mradi

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Ila ila ila eheee...nchi hii inamaudhi sana. Wengine wanateseka wengine wananeemeka...iko siku.
 
Mitambo ikakokotoa chap chap miaka mitano iliyokaa kwa mateso bila ukarabti ikaja na 4tri na ushee duuh!!!
 
Back
Top Bottom