Search results

  1. M

    What happened to our 767-300 freighter promised to arrive in the country April 2023?

    The heading doesn’t need further explanation
  2. M

    Ununuzi wa ndege ya mizigo - tulipigwa $49 milioni

    The latest Controller and Auditor General (CAG) report has revealed an anomaly in the pricing of the new Air Tanzania cargo plane that is expected to be delivered in April 2023. According to the 2021-2022 report, the details of which were read by President Samia Suluhu Hassan on Wednesday...
  3. M

    DOKEZO Mayai kutoka Uganda yanaingizwa kimagendo Bukoba na miji jirani

    Nimeshuhudia mzigo mkubwa wa mayai yanavuka mpaka wa Mtukula na kuingia nchini. Nilivyojaribu kuuliza wenyeji nikaambiwa maboss wa vitengo vya Usalama na ukusanyaji kodi wapo kwenye payroll ya importers. Kibaya zaidi ni kwamba hayo mayai hayalipiwi kodi kwa sababu yamezuiwa kuingizwa nchini...
  4. M

    Mkopo wa kujenga uwanja wa ndege Zanzibar ni wa Muungano, mafuta yaliyopo Zanzibar sio ya Muungano

    Nadhani håpa mambo hayapo sawa. Matokeo ya kuwa na maraisi wote wawili kwa wakati mmoja wakitokea Zanzibar. Hali ikiendelea hivi wabara tutabebeshwa mizigo isiyo tuhusu.
  5. M

    Huwezi kutaja organisation za hovyo nchini ukakosa kuitaja TRA

    System zao zote are rubbish kuanzia customs, DRD plus supporting departments. Nimeagiza parcel, 10 days still held by customs at JNIA, reasons system is down. Inasikitisha sana. Ukienda kulipia ni kimbembe, ku-upload returns mziki wake si kidogo. Nadhani kuna haja ya outsourcing
  6. M

    Ndugu anasumbuliwa na Gout

    Ndugu anasumbuliwa na hii kitu. Anayejua tiba tafadhali
  7. M

    Rwandair's CRJ 900 chupu chupu Entebe

    alfajiri ya jana saa 11.30 hali ya hewa ilikuwa mbaya katika uwanja wa ndege wa Entebe (poor visibility) lakini jamaa akalazimisha kutua bila kuuona uwanja. matokeo yake ikatua nje ya uwanja. all 60 passangers walitoka salama ----- A formal investigation is underway following a runway...
  8. M

    Mdau: Je, kwenye Taaluma ya Tiba kuna walakini?

    Rafiki yangu amelazwa kwenye hospital kubwa kuliko hapa nchini. kabla ya kulazwa alianzia hospital ya mkoani wenyewe wanaziita za rufaa baadae akapewa rufaa kuja hospital moja yenye jina kubwa DSM. Tatizo lake halikupata ufumbuzi it is like they were treating shadow. Hivyo akaamua kuomba rufaa...
  9. M

    EMS Huduma zenu sio

    Parcels zinachukua muda mrefu kumfikia mlengwa. Zamani walikuwa wanatumia ndege baadae wakaacha. Wakati huo ilikuwa inawezekana parcel kutumwa leo kutoka DSM na kesho unaipokea Mwanza. Sasa hivi EMS wanatumia magari yao, ambapo mzigo kutoka Tunduma kwenda DSM unatumia siku 4. Bukoba to Tunduma...
  10. M

    #COVID19 Rukwa: Hakuna chanjo mpaka atakaponzindua RC kesho

    Chanjo ya Covid-19 iliyokuwa ianze leo, imeahirishwa mpaka atakapochanjwa kwanza Mkuu wa Mkoa Rukwa na kuzindua zoezi hilo hapo kesho. Huu ni upumbavu mwingine katika awamu hii. Gonjwa linaua watu dawa ipo lakini haiwezi kutolewa kabla ya mtu fulani hajachanjwa!! madness. Kuna ndugu yangu yupo...
  11. M

    SoC01 Umuhimu wa kila Mtanzania kuyaelewa masuala ya kodi

    Katika hali ya kawaida, kila mtu mwenye kipato lazima kwa njia moja au nyingine ajikute analipa kodi. Kodi inaweza kulipwa kupitia manunuzi/matumizi, mshahara, biashara, au uwekezaji.Kwa utangulizi huo ni wazi kwamba karibia kila mtu lazima anaswe na mtego wa kodi. Ni kwa sababu hiyo naona...
  12. M

    Uhuni niliofanyiwa na M-Pesa Tanzania

    Juzi 29/06/2021 nilihamisha Tzs 400k kutoka kwenye account yangu ya MPESA kwenda Airtel Money, kumlipa supplier wangu. Muamala huo ukakatwa kutoka kwangu lakini haukwenda AirtelMoney kwa mlengwa. Nikapata meesage "Sorry, transaction was not completed due to technical reasons. Contact customer...
  13. M

    Kweli Kenya ni ndugu zetu

    Karibia TV zote za Kenya zipo live zinaonyesha tukio la kuaga mwili wa marehemu uwanja wa Taifa.
  14. M

    Precious Air kuonekana kwenye Anga la Kenya na sio Tanzania

    Naomba kujuzwa, kwenye App ya Flightradar24, ndege za Precision Air hazionekani wakati zinaruka kwenye anga la Tanzania, lakini zinapovuka mpaka na kuingia kwenye anga la Kenya zinaonekana. Ndege nyingine zinaonekana kokote. Kwa nini?
  15. M

    Tetemeko Rukwa/Mbala

    Dakika chache zilizopita limetokea tetemeko maeneo ya Mbala mpakani na Tanzania. Nina imani waishio Tunduma na Sumbawanga wamelisikia. Magnitude 4.2
  16. M

    Mgao wa vifaa vya kinga ya COVID 19 unafikirisha

    Nimesoma recent tweet ya Kigogo "mgao wa vifaa vya kinga ya corona". Nimeshindwa kuelewa kwanini mkoa mmoja mdogo anapotoka bwana mkubwa umepewa upendeleo? Tunarudi nyuma sana. Tafuta recent tweet ya Kigogo uone mwenyewe.
  17. M

    AzamTV App is rubbish

    Nili-download hii App. ya Azamtv, nikajaribu ku-register lakini inakwama hata baada ya attempts kadhaa. Is it me that I am doing it wrong au App yenyewe ni takataka kama baadhi ya products zao?
  18. M

    Magufuli changamkia tenda: SAA to sell nine A340s as part of restructuring effort

    Maji yamewafika shingoni wanaotudai $4m, wanauza ndege zao kubwa kabisa 9. Namshauri Rais Magufuli anayewaambia kwamba yeye ni tajiri achangamkie tenda, tupate ndege nyingine za kwenda America na Ulaya nonstop.
  19. M

    Wajanja wa Mac, come to my rescue

    My Macbook Pro doesnt boot, it keeps restarting, giving me a silly message that "Your computer restarted because of a problem. Press a key or wait a few seconds to continue" I have done all of the above but still it keeps restarting. Kama kuna mjanja ana solution naomba aniokoe.
  20. M

    CRDB rudisha hela za wateja

    Wateja wote wa CRDB waliofanya transfer kwa kutumia Simbanking siku ya Jumpili 17.11.2019 hela zao zimezuiliwa. Kila wakipigiwa simu wanasema subiri. Hawajui extent ya usumbufu waliowasababishia wateja. Usumbufu wa aina hii katika hii benki umekuwa kawaida. Kungekuwepo regulatory authority ya...
Back
Top Bottom