AzamTV App is rubbish

AzamTV App is rubbish

Camilo_Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
11,378
Reaction score
15,398
Nili-download hii App. ya Azamtv, nikajaribu ku-register lakini inakwama hata baada ya attempts kadhaa. Is it me that I am doing it wrong au App yenyewe ni takataka kama baadhi ya products zao?
 
USIJARIBU MKUU, IYO APP NI YAKIJINGA SANA ILINIFANYA NILIPIE KIFURSHI KIMOJA MARA MBILI JINSI ILIVYO SLOW

Nili-download hii App. ya Azamtv, nikajaribu ku-register lakini inakwama hata baada ya attempts kadhaa. Is it me that I am doing it wrong au App yenyewe ni takataka kama baadhi ya products zao?
 
Hizo hapa ni chanel zonazoonyesha kweny dstv ktk simu yako au computer [emoji985] au laptop yako nikikuunga kwa sh 10k tu na hakuna malipo ya kila mwezi ukilipa mara moja unakura raha tu full time ni zaidi ya channel 120 ukihitaji niambie hapa hapa usije inbox ili kuweka uwazi na sio u siri maana sio utaperi
Nina app ya bila malipo ya kila mwezi yenye chanel azam sport HD na azam sport 2, azam one, utv na azam two, tbc, startv, zbc2, wasafi, chanel za mpira ya ulaya yote kianzia epl, laliga, sirea, bundasiliga, movie, catoon, news nk nakutumia kwa sh elf5 ni zaidi ya channel 80

Pia nina huduma ya Kukuunga na chanel za Dstv kweny simu yako za zaidi ya channel 120 hakuna malipo ya kila mwezi unalipa elf10 tu unakuwa umemaliza, nina kuunga ww kweny account yangu hivo nakutumia email na password unalog in na kuanza kura raha mwanzo mwisho.. Niko tayari kutoa maelezo hapa hapa nasio lazima uje inbox maana mimi sio taper ushahidi ni huu uzi
PicsArt_02-18-04.42.15.jpeg
PicsArt_02-18-04.41.15.jpeg
PicsArt_02-18-04.40.20.jpeg
PicsArt_02-18-04.37.42.jpeg
PicsArt_02-18-04.36.35.jpeg
PicsArt_02-18-04.33.43.jpeg
 
Back
Top Bottom