#COVID19 Rukwa: Hakuna chanjo mpaka atakaponzindua RC kesho

Montserrat

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
10,267
13,839
Chanjo ya Covid-19 iliyokuwa ianze leo, imeahirishwa mpaka atakapochanjwa kwanza Mkuu wa Mkoa Rukwa na kuzindua zoezi hilo hapo kesho. Huu ni upumbavu mwingine katika awamu hii.

Gonjwa linaua watu dawa ipo lakini haiwezi kutolewa kabla ya mtu fulani hajachanjwa!! madness. Kuna ndugu yangu yupo Sumbawanga ameenda government hospital nakuambiwa hivyo.

We still have a long way to go. God bless this Country. Save our leaders from having idiotic minds.
 
Nasikia walengwa waliokuwa wamefanya booking ya leo wamecharuka kwelikweli. Bado tuna safari ndefu sana. Chanjo ingeendelea halafu wao waka-formalize upumbavu (sic) wao kesho. By the Samia alishazindua, that is enough. Why uzinduzi Mikoani /wilayani?

Remember people are dying.
 
Back
Top Bottom