Precious Air kuonekana kwenye Anga la Kenya na sio Tanzania

Montserrat

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
10,267
13,840
Naomba kujuzwa, kwenye App ya Flightradar24, ndege za Precision Air hazionekani wakati zinaruka kwenye anga la Tanzania, lakini zinapovuka mpaka na kuingia kwenye anga la Kenya zinaonekana. Ndege nyingine zinaonekana kokote. Kwa nini?
 
Umejichanganya hata hujulikani unauliza nini!!!!!
 
Kwanza utuambia wewe umezionaje ndege za makampuni mengine alafu za Precision Air usizione, ili na sisi tufuatilie maana mie ninaishi Kabusungu Mwanza zikiruka tu uwanjani naziona
 
Back
Top Bottom