Search results

  1. sanalii

    Kama umeme ni mwingi upungue bei tupikie majiko ya umeme

    Kwakua sasa umeme umekua mwingi kuliko matumizi, sasa upungue bei, watu wanunue majiko ya umeme, tuwe tunatumia umeme na gas, maana kwanza sasa mkaa umekua kama madawa ya kulevya. Pia Soma - TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa
  2. sanalii

    Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

    Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote. Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri"...
  3. sanalii

    Majirani wanaofungulia mziki sauti kubwa wana matatizo gani?

    Yani jirani inakuaje mtu uko kwako, unafungulia mziki hadi nyumba ya 5 au 6 wanasikia? Ni kuwa wanataka na wengine wasikie au wanafurahia kusikia mziki kwa sauti kubwa?
  4. sanalii

    Yawezekana kitabu cha Mhubiri ndio uhalisia sahihi wa maisha

    1. Mwandishi anaonekan ni mtu aliekua na wadhfa na mali, wapo wanasema mwandishi ni Mfalme Suleman ila wengine wanakataa. 2. Pamoja na mafanikio hayo, anaonekana amejawa na msongo wa mawazo na alie "disappointed"sana, mara nyingi husema " ...ni sawa na kufukuza upepo." 3. Anaonekana hana imani...
  5. sanalii

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    Am about to hit 9 years with her, this woman is something else, she is the living example of perfect combo,
  6. sanalii

    Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

    Kua na shobo haimaanishi mtu unamtaka, she wasn’t even that beautiful, she couldn’t make it in my dating pool at all. Mlugaluga wewe
  7. sanalii

    Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

    Wakuja tu wewe, huna lolote ujualo
  8. sanalii

    Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

    Yani kama vile nimeua mtu, kumbe ni kumuuliza swali jepesi tu.
  9. sanalii

    Papa Francis asema wanachokifanya Israel ni ugaidi

    My take: 1. Kwa sasa najikita katika haki za binadamu tu, as long as mtu hamdhuru mtu mwengine, kesi yake namuachia mwenyewe na Mungu. 2. Watu weupe hasa wa magharibi wana utu sana na wanajitahidi kutumia logic, hisia za dini haziwapeleshi. 4. Waafrika wengi wanaroho mbaya sana na...
  10. sanalii

    Tufanye tathmini (review) ya robo mwaka (Q1: Jan to March 2024)

    Jambo la msingi nililofanya labda ni kumaliza ada ya shule ya mtoto, mengine bado ni aste aste
  11. sanalii

    Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

    Sasa jambo la casual mnaweka protocol kama vile job interview?
  12. sanalii

    Shobo zangu zimenitia aibu, kuna wadada wana maringo sana

    Dada yameisha, mbona unakua mkali hivi?
  13. sanalii

    Tigo na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe

    Nani kakupa mamlaka ya kuzungumzia wateja wengine? Acha shobo
  14. sanalii

    Moja ya harusi bora kabisa hii

    kitu kinachofanana na hiki ni kama mimi, very simple
Back
Top Bottom