Search results

  1. Drone Camera

    Developer Account Azam Pay

    Habari na poleni na majukumu wanajukwaa, Hivi karibuni nimekuwa nikijihusisha na kutengeneza web applications zinazojumuisha maswala ya malipo. Kwa kipindi hicho chote, nilikuwa natumia APIs za Stripe. Kama mnavyojua, Stripe ni ya nchi za magharibi hivyo ukiwa nchi zetu hizi mara nyingi utaweza...
  2. Drone Camera

    Competitive Programming

    Hello Geeks! Leo tuongelee huu uwanja wa tech kama kichwa kinavyoeleza. Naamini kila mmoja anajua maana ya programming.Kwamba unaandika instructions katika computer(programs) ili iweze kukupa matokeo unayotaka wewe. Ila kwa upande wa "Competitive programming" ni kwamba utafanya hiyo hiyo...
  3. Drone Camera

    Kwa wataalamu wa Python;

    Habarini za jioni, Naombeni msaada kidogo katika hili. Kuna kipengele kimoja katika "Python programming language" kinaitwa "Regular Expressions".Hiki kipengele kinanichanganya kiasi katika platform ninayosomea.Nimekimaliza ila nikijipima najiona bado. Wenzangu mliopo vizuri hii lugha nisaidieni...
  4. Drone Camera

    Kuna Wenzangu waliokimbia Additional Mathematics kama mimi?

    Habarini WaTz wenzangu na poleni sana kwa hili pigo tulilopata karibuni.Tuendelee kumuombea mzee wetu apumzike kwa amani. Na wale wa tarehe 27 tuwaombee wakamilishe furaha yao bila kutokea kwa vurugu yoyote.🙏. Kuna hili somo linafundishwa O'level kwa baadhi ya shule.Linaitwa Additional...
  5. Drone Camera

    Mpiga faulo wa Alliance ni nani?

    Swali langu hilo hapo juu. Hii timu inapiga sana faulo.Nahisi ukitengewa nje ya boksi kidogo ni ndani. Sidhani kama kuna timu inapiga faulo kuliko hii ligi kuu.Kama ipo muitaje tafadhali. Nimefuatilia gemu zao mbili.Na mabao yote yaliyofungwa ni faulo. Ile ya Simba waliyokalia nne na wao...
  6. Drone Camera

    Kazi ya kulea si mchezo, mbarikiwe wanawake

    Aisee hii kazi ya kulea kwa wanaume hapana, wacha niwapongeze tu wanawake. Hii kazi ni ngumu. Mnaodai mnazalisha kisha mnalea naanza kuamini ni chai ya tangawizi kabisa! Labda kama unamchukua mtoto kwa mama yake ana miaka mitano kwenda juu. Tofauti na hapo utateseka na kukonda rafiki. Juzi...
  7. Drone Camera

    Tusipende kuendekeza mitandao ya kijamii

    Jamani tusipende kuendekeza mitandao ya kijamii. Hii kitu ukishapata addiction ni ngumu kujitoa. Na utajikuta unapoteza muda mwingi tu wa kazi na hatimaye mambo yako hayatafikia malengo. Yaani hadi sasa siamini project mwanzoni niliyofanya kwa wiki moja tu leo unakatika mwezi...
  8. Drone Camera

    Singeli ni Muziki wa hovyo sana

    Hii aina ya mziki ni ovyo sana! Haifundishi jamii zaidi inaharibu.Wasanii wengi wa huu muziki mwanzoni walikuwa wapiga roba na waliza watu tu. Uchezaji wake wa hovyo yaani ni vurugu.Inakuwa si burudani tena! Hauwezi kufika kimataifa huu.Msitegemee singeli kushindana na South African...
  9. Drone Camera

    Serikali fanyeni Huduma za Afya kwa Wanafunzi ziwe bure

    Hili ni ombi kwa serikali yangu.Fanyeni huduma za afya kwa wanafunzi wetu ziwe bure. Hili ni tatizo sana hasa kwa shule za bweni.Unakuta wanafunzi kukwepa gharama ya matibabu ambayo kimsingi hawaimudu wanashare bima za afya. Na hapo itabidi mhusika atafute mwenzie wanaeendana muonekano kidogo...
  10. Drone Camera

    Mwanaume mwenzangu hapa umekosea sana. Hujafanya poa kabisa

    Habarini na hongereni kwa kuvuka salama janga la #covid19.Wale wadogo natumai mnaendelea na maandalizi ya shule.Tunashukuru kwa uwepo wenu humu ktk hiki kipindi cha miezi mitatu. Last month ma'mdogo alienda BK kusalimia. Naishi naye mkoa mmoja japo si nyumba moja. Hivyo wakati anarudi...
  11. Drone Camera

    Tusipende kupiga watoto wetu

    Mtoto ni zawadi.Ndiyo alama yako utakayoacha hapa duniani. Hizo mali utakazoacha zitagombaniwa zitaisha.Ila jina lako atabaki nalo wewe na atalitumia kwa mjukuu wako kama jina lake la tatu. Tusitelekeze wala kuwapiga piga watoto. Huwa najisikia vibaya pale mzazi au yoyote yule anamposhushia...
  12. Drone Camera

    Shinyanga kuwa na Manispaa Mbili. Mengi ya Majiji yetu bado yana moja moja

    Wakuu poleni na majukumu, Habari ndo hiyo! Mkoa wa Shinyanga unaenda kuwa na manispaa mbili muda si mrefu! Manispaa ya Shinyanga na Manispaa ya Kahama.Tanzania tuna majiji sita; Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Dodoma, Mbeya na Tanga, Dar(5), Mwanza(2) na yote yaliyobaki moja moja. Kama Kahama...
  13. Drone Camera

    Mji mkuu wa Burundi, Bujumbura umefanana na mji gani hapa Tanzania?

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza ningependa kufahamu jiji la Bujumbura limefanana na mji au jiji gani hapa kwetu. Kuna ripoti naiandaa hivyo kwa wale wenye uzoefu na huko ningependa kusikia kutoka kwenu. Ningependa kufahamu kiuchumi, miundombinu, majengo, vitu kama shopping centers na...
  14. Drone Camera

    Kipengere gani kilikusumbua kukimaster ulipojifunza Programming Language?

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza,naomba tuambiane kipengere kilichokuwa kigumu kwako wakati unajifunza programming language yoyote ile. Kwa upande wangu kutokana na research niliyofanya na kutambua lugha gani nianze nayo kwa ajili ya projects zangu,niliamua kuanza na Python.Kama kawa...
  15. Drone Camera

    Nina tatizo la Vidonda mdomoni, Naombeni ushauri

    Habari wakuu, Kama mada inavyoeleza nina tatizo la vidonda mdomoni hasa kwenye ulimi. Umechubuka kiasi kwamba napata wakati mgumu kunywa chai yamoto au yenye tangawizi na pia vyakula kama dagaa naanza kuviogopa. Nilijaribu kutumia machungwa na malimao ila vilivyopona ni vya pembezoni ndani ya...
  16. Drone Camera

    Ulishawahi kugharamika kwa kosa la kusingiziwa?

    Habari Wakuu, Natumai mpo poa. Niende kwenye mada; Nimeanzisha hii mada ili wale waliowahi kuingia matatizoni kwa makosa wasiyoyafanya waweze kushare nasi ilikuwaje wakaingia mwisho wake ilikuwaje. Mimi pia ni mhanga wa haya matukio na nitashare nanyi ya kwangu mawili ambayo naweza sema...
  17. Drone Camera

    Kwanini hili Jukwaa ushawishi wa Wanawake upo juu?

    Habari wana MMU Mimi si mpenzi wa hili jukwaa ila ndani ya masaa 24 huwa siachi kutupia jicho huku. Swali langu ndo hilo kama linavyosomeka kwenye heading,wanawake wana ushawishi zaidi kwenye hili jukwaa kuliko Sie.Ukitaka kuamini hili,anzisha uzi unaofanana maudhui na mwanamke hili jukwaa...
  18. Drone Camera

    TISS wanapataje watu wao?

    Wakuu. Poleni na ugonjwa huu wa #covid19.Hili nalo litapita tu.Tuzidi kumuomba Mungu na kuchukua tahadhari. Hawa watu wa intelijensia Tanzania,TISS,wanapataje watu wao? Sababu sijui kama kuna utaratibu wa kujiunga nao moja kwa moja.Kuna mtu aliniambia kuwa wenyewe ndo wanafuata watu na sio watu...
  19. Drone Camera

    Kama wewe ni mwanaume mpole, usioe mwanamke wa Pwani

    Salute Wakuu; Poleni na huyu mdudu #coronavirus.Hili nalo litapita tu.Let's be optimistic and hope for the best. Sisi wanaume wa huku bara bara sana huwa tunasikia sifa za hawa wanawake wa ukanda wa Pwani,kwamba ni wazuri,wanajua kupika,wanajua mapenzi,you name it.Kuna ukweli hapa,si kwamba...
  20. Drone Camera

    Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

    Wakuu; Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu. Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia. Kuna mambo atayasema ila kwa...
Back
Top Bottom