Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,177
Reaction score
14,155
Wakuu;
Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu.

Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia.

Kuna mambo atayasema ila kwa harakaharaka utayachukulia ni upuuzi,ila pale utakapoamua kukaa na kufikiri kwa kina,hakika yanafikirisha.

Tumebeza aliposema kuna baadhi ya vitu vimetest positive for #covid19 kama mapapai na mbuzi,ila ukimuuliza mtu kwa nini anabeza hawezi kukupa jibu linaloeleweka,zaidi atakwambia ni kituko kupima papai na mbuzi.Ila mtu hajui nini maisha baada ya kupima hivi vitu,nikimaanisha tumegundua nini baada ya kufanya hivi;bila shaka kuna shida inaonekana mahali.

Tumesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument.

BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata kugundua mnyama jamii ya tiger mwenye maambukizi ya #covid19.Na hili hatukuliona kituko,ila tukifanya sisi wenyewe tunajiona kituko.

Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.
 
Mie pia nimependa hoja yake na ndio maana nikajiuliza maswali haya.

Maswali yangu ni:

Mpaka lini tutaendelea kulalamika kuhusu kuuziwa/kupewa vitu visivyo bora?

Kwa nini tusitengeneze vipimo vyetu wenyewe kwa ushirikiano wetu wa Umoja wa nchi za Afrika?

Hatuna maabara? Kuna maabara ya Umoja wa nchi za Africa hili iwe ina shughulikia magonjwa yetu na ya mlipuko pamoja na kuendelea kufanya utafiti?

Hatuna wana sayansi? Kama wapo serikali zetu lini zitawapa ushirikiano?

Hatuamini mfumo wa elimu zetu?

Kwanini kila kitu tutegemee wengine?; alafu wakitaka kujaribu dawa, chanjo, vipimo vyao kwetu tunakuwa wakali na kulalamika na kusema ni ubaguzi. Mchango wetu kwenye sayansi barani kwetu na duaniani uko wapi?
Mbona wana sayansi wetu wanatumiwa na hizo nchi za nje ambazo tunawategemea kila kitu? Kwa nini sisi tusiwatumie?
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, hile ya mbuzi sijashangaa manake marekani mbwa nao wamekutwa na corona.

Hio ya oil hata sijui walifikiria nini.
 
Mie pia nimependa hoja yake na ndio maana nikajiuliza maswali haya.

Maswali yangu ni:

Mpaka lini tutaendelea kulalamika kuhusu kuuziwa/kupewa vitu visivyo bora?

Kwa nini tusitengeneze vipimo vyetu wenyewe kwa ushirikiano wetu wa Umoja wa nchi za Afrika?

Hatuna mahabara? Kuna mahabara ya Umoja wa nchi za Africa hili iwe ina shughulikia magonjwa yetu na ya mlipuko pamoja na kuendelea kufanya utafiti?

Hatuna wana sayansi? Kama wapo serikali zetu lini zitawapa ushirikiano?

Hatuamini mfumo wa elimu zetu?

Kwanini kila kitu tutegemee wengine?; alafu wakitaka kujaribu dawa, chanjo, vipimo vyao kwetu tunakuwa wakali na kulalamika na kusema ni ubaguzi. Mchango wetu kwenye sayansi barani kwetu na duaniani huko wapi?
Mbona wana sayansi wetu wanatumiwa na hizo nchi za nje ambazo tunawategemea kila kitu? Kwa nini sisi tusiwatumie?
Ni kweli uliyoyaongea...Nadhani sisi tushazoea kutegemea watu fulani,hatujiamini na kama ulivyosema serikali zetu hazijali...hata hela za kufanya research hatupatiwi na serikali...

Nadhani kukitokea majanga kama haya ndo utaona tunaanza kuhighlight tulipokosea kana kwamba tuna nia ya kurekebisha,na janga likipotea yanasahaulika tena,tunawaachia wenyewe....

Nadhani watu walikuwa against ile ishu ya chanjo ili tusionekane underdogs tu😆😆😆😆;hata mimi binafsi sikukubaliana nayo,ila in short we act as inferiors..,and we deserved it.
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Oil haina DNA...but the virus has its own DNA...Na kinachopimwa ni DNA ya hicho kirusi,kama ipo.
Wewe unafikir wenzetu waligundua vipi kirusi kinakaa kwa muda gani kwenye surfaces za vitu kama mbao,chuma etc...Unafikir hivyo vitu vina DNA au RNA?
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua watanzania wengi ni vilaza
Chochote anachoongea watamuamini
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndio hujui chochote.
kasome manual ya hizo mashine na matumizi yake
usije kujikuta ww ndio kiazi hapa
muwe mnafanya research kabla ya ku comment upupu.....
inasaidia sana kuficha ujinga
 
Kwangu mimi naona tatizo ni kuitoa hiyo siri, matokeo ya hizo test za mipapai, mbuzi nk, ilitakiwa iwe starting point ya sisi kufanya research zetu wenyewe na sio kuitoa hiyo siri, huwezi au wala hana huo ubavu kupambana na mabeberu kama anavyowaita. Kama anabisha awaulize akina gadafi, sadamu na mugabe,

Wala usiogope, mbinu iliyotumika kwa Zimbabwe haiwezi kufanya kazi Tanzania. Kwa nini, kwa sababu maskini wa Tanzania wanajitegemea kwa kuzalisha vyakula vyao ilihali wale wa Zimbabwe walikuwa wanawategemea walowezi wa kizungu. Na kwenye msosi ndo kuna kelele nyingi. Mengine hata yakifanyika maskini wataona maisha yanasonga kawaida.

Suala la kumvamia kijeshi kama Sadaam haliwezekani kwani hana silaha za hatari.
Kutumia uasi wa ndani kama kwa Gadafi pia ni ngumu kwani wananchi waliowengi wanamuelewa, hata hao wachache wasiomwelewa wanavumilia kwa matumaini kuwa 2025 ataondoka kwa mujibu wa katiba. Hivyo ondoa hofu. Hawawezi mfanya kitu zaidi sana watakwamisha miradi yake tu.
 
Wakuu;
Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu.
Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia.
Kuna mambo atayasema ila kwa harakaharaka utayachukulia ni upuuzi,ila pale utakapoamua kukaa na kufikiri kwa kina,hakika yanafikirisha.
Tumebeza aliposema kuna baadhi ya vitu vimetest positive for #covid19 kama mapapai na mbuzi,ila ukimuuliza mtu kwa nini anabeza hawezi kukupa jibu linaloeleweka,zaidi atakwambia ni kituko kupima papai na mbuzi.Ila mtu hajui nini maisha baada ya kupima hivi vitu,nikimaanisha tumegundua nini baada ya kufanya hivi;bila shaka kuna shida inaonekana mahali.
Tumesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument.
BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata kugundua mnyama jamii ya tiger mwenye maambukizi ya #covid19.Na hili hatukuliona kituko,ila tukifanya sisi wenyewe tunajiona kituko.
Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.
Acha ushamba kuchanganya mambo

Jitu zima Unaandika BTW kwenye sentensi

Wewe huna tofauti na watoto wa shule za kata sasa wana andika xaxa
 
Back
Top Bottom