TISS wanapataje watu wao?

TISS wanapataje watu wao?

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,177
Reaction score
14,154
Wakuu.
Poleni na ugonjwa huu wa #covid19.Hili nalo litapita tu.Tuzidi kumuomba Mungu na kuchukua tahadhari.

Hawa watu wa intelijensia Tanzania,TISS,wanapataje watu wao? Sababu sijui kama kuna utaratibu wa kujiunga nao moja kwa moja.Kuna mtu aliniambia kuwa wenyewe ndo wanafuata watu na sio watu kuwafuata wao.Kama hiyo nadharia ni ya kweli,wanaangalia vitu au vigezo gani kuwapata watu wanaowahitaji?

Na pia ningependa kufahamu kama wana watu wao nchi zilizoendelea za dunia ya kwanza kama US,UK,Japan n.k.

Tusaidiane ujuzi,Asanteni.
#ChukuaTahadhari.
#StaySafe.
 
Nenda pale osterbay ulizia ofisi zao zilipo ingia ndani ukiwa na kadi ya ccm waambie nimekuja kujiunga na wasiojulikana.
Baada kutoka huko utakuja unishukuru
Sihitaji kujiunga,nilitaka nijue tu wanavyowapata watu wao.
 
Mbna CIA na FBI wanaportal ya watu kuapply na kufanya mitihan ili mtu awe qualified for the job.

Sema kuna wanaofatwa hasa kwa CIA na ni kwa sababu maalumu. Mfano unafanya kazi katika taasisi flan hata ya TISS wanaweza kukuemploy uwe double spy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom