Mpiga faulo wa Alliance ni nani?

Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
14,007
13,799
Swali langu hilo hapo juu.
Hii timu inapiga sana faulo.Nahisi ukitengewa nje ya boksi kidogo ni ndani.

Sidhani kama kuna timu inapiga faulo kuliko hii ligi kuu.Kama ipo muitaje tafadhali.

Nimefuatilia gemu zao mbili.Na mabao yote yaliyofungwa ni faulo.

Ile ya Simba waliyokalia nne na wao kupata la kufutia machozi moja.Hilo moja ni faulo aliipiga huyu jamaa wanamwita Israel Patrick.

Hii gemu yao ya jana sikuifuatilia fresh maana kulikuwa na gemu ya simba pia.Ila baadaye kucheki highlights nikaona magoli yao yote ya jana ni faulo.

Freekick zenyewe zinapigwa kiufundi sana.Kwa hizo gemu mbili nilizocheki basi nahisi hata nyingine ambazo sijacheki wamefunga faulo za kutosha.

Mpiga faulo wa hii timu aangaliwe kwa jicho la tatu.Sio mtu wa kawaida!
 
We jamaa kama huna rekodi si bora ukae kimya.
Game ya simba alliance alifunga kwa faulo?
Af unawezaje kusema timu ni bora sehem fulani kwa kuangalia game mbili?
 
Game ya kwanza ya CCM Kirumba goli la Alliance lilifungwaje mzee wangu?
 
Back
Top Bottom