Kipengere gani kilikusumbua kukimaster ulipojifunza Programming Language?

Kipengere gani kilikusumbua kukimaster ulipojifunza Programming Language?

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,157
Reaction score
14,119
Habari wakuu,

Kama kichwa kinavyojieleza,naomba tuambiane kipengere kilichokuwa kigumu kwako wakati unajifunza programming language yoyote ile.

Kwa upande wangu kutokana na research niliyofanya na kutambua lugha gani nianze nayo kwa ajili ya projects zangu,niliamua kuanza na Python.Kama kawa nilianza vizuri nikafika hadi kwenye functions, hadi kufikia hiyo point sikusumbuka kiasi hicho japo nilihaso kidogo.

Tatizo lilianzia pale kwenye OOP. Kusema kweli hii point nilistruggle sana.Nasoma maelezo kisha nacopy code inarun vizuri na kutoa output ila sasa nikiicheki code ili kujua why output imekuja hii nachoka.Ila nashukuru nilivuka.

Ningependa kusikia uzoefu kutoka kwenu pia, Karibuni.
 
Nina mwezi na nusu sasa tangu nianze kujifunza Python,naijua ile basics tu..OOP bado sijaanza, niliigusa kidogo nikahisi kichwa kinauma.
Haha ni noma jaribu kutafuta mentor kama inawezekana akuongoze.
 
Haha ni noma jaribu kutafuta mentor kama inawezekana akuongoze.
Nataka nianze kusoma kitabu then nikomae na youtube tutorials.

Msaada:
Baada ya ku master python basics, nini kinatakiwa kufata au vitu gani inabidi nifanye..Napenda mambo ya data science na web/data scraping na ndo vitu vilivyofanya nikaanza kujifunza python.
 
Functional Programming umeisoma?
 
ukiangalia definition yake ni plain and simple, 😀 😂 , implementation yake sasa

took me a while to effectively master it
Yeah boss implemention ndo inakuwaga tatizo..., Ila ukibahatika kupata mentor mzuri utavuka vizuri otherwise you've to apply lots of efforts.
 
Back
Top Bottom