Search results

  1. The real Daniel

    Kusoma Sheria kunawachanganya watoto wa kike

    Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50. Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na kugeuka watetezi wa lifestyle za ulaya na wanaona Mila na desturi za waafrica ni barabaric na...
  2. The real Daniel

    Uwezekano wa kuvamiwa na fensi ya umeme

    Wakuu, habari zenu Naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa mtu kuingia kwenye nyumba yenye fensi ya umeme, je inawezekana?
  3. The real Daniel

    Yanayoendelea Kenya ni uthibitisho tosha kwamba Demokrasia kamili haiwezekani kwa nchi za Afrika

    Nisiseme mengi Sana. Sote tuliisifia Kenya kwa kufanya uchaguzi huruma kabisa na matokeo yakatangazwa na ruto akashika nchi peacefully. Ila maandamano yanayoendelea Kenya pamoja na jinsi mahakama inavyoyaunga mkono na kupelekea nchi kutotawalika inaonyesha kiasi gani ukiiendekeza Sana...
  4. The real Daniel

    Nini maana ya maneno haya ya mathayo 7: 13 - 23?

    Mathayo 7:13-24 Biblia Habari Njema (BHN) 13. “Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba. Kwa maana njia inayoongoza kwenye maangamizi ni pana, na mlango wa kuingilia humo ni mpana; waendao njia hiyo ni wengi. 14. Lakini njia inayoongoza kwenye uhai ni nyembamba, na mlango wa kuingilia humo ni...
  5. The real Daniel

    Kujitoa kwa GSM kama mdhamini mwenza hakuna madhara yoyote kwa uwekezaji wa huko mbeleni

    Watu wameanza, oh kuondoka kwa GSM ni jambo baya wadhamini wataogopa kujitokeza[emoji3] Sikilizeni, hakuna mdhamini atakaye ingia mkataba halali na ligi yetu ambaye atasumbuliwa, ila ukiingia mikataba ya hovyo, kwa kujaribu kupita mlango wa nyuma basi jua utapata taabu tu, lakini ukifuata...
  6. The real Daniel

    Hivi mnawezaje kuishi maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja?

    Kumekuwa na watu wengi ambao wanaishia maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja, mfano unakuta mtu ametoka kufanya uzinzi mchana, then jioni anapost status au post ya kawaida kwenye WhatsApp, FB na inta akiwahimiza watu kuhudhuria ibada ya maombi na akiwa confident kabisa. Unakuta kesho anaenda...
  7. The real Daniel

    Loui fanya remix ya Hennessy na either Diamond au Harmonize

    Ukiisikiliza hii ngoma imekaa poa sana kijana kaimba vizuri na beat iko poa sana, na zaidi video yake iko fire sana. Sometimes unafikiria kama chibu au Harmonize wangepewa hii beat basi wangeweza kufanya kitu zaidi. Ushauri wangu amtafute mmoja wao waikuze zaidi ngoma yake imfikishe mbali...
  8. The real Daniel

    Sheria na mimba kwa wanafunzi ingetafuta namna ya kubana pande zote

    Sheria: Ukimpa mwanafunzi ujauzito unafungwa miaka 30 ila binti atalea mtoto na Kkma familia inauwezo itampeleka private. Binti: Kwakuwa sheria hainifungi jela na shule siitaki nafanya yangu hata nikipata ujauzito hakuna shida yoyote atajijua anayenipa hiyo mimba. Maoni yangu: Sheria...
  9. The real Daniel

    Vitasa live

    Aisee leo vimenoga kweli kweli maana mpaka Sasa mapambano ma tatu na yote watanzania tumepoteza 'kihalali kabisa'. Mabondia wa tz Leo Hawako vizuri kabisa
  10. The real Daniel

    Kubadilishwa kwa Uongozi ndani ya kikosi cha Simba

    Nafikiri kwa hizi mechi 2 tumethibitisha kwamba uongozi ndani ya kikosi cha Simba umebadilika First captain: Bocco Second captain: Chama Third captain: Kapombe Ingawa haijathibitishwa na Uongozi wa simba
  11. The real Daniel

    FiFa 14 update to Fifa 21

    Wapenzi wa FiFa 14 naombeni link ya ku download update ya FiFa 21 Please
  12. The real Daniel

    Hivi walimu wa Arts (Kiswahili na Geography) wanaomba primary au secondary?

    Hivi walimu wa arts Kiswahili na geography wanaomba primary school au secondary. Kwangu Mimi nimejaza taarifa zingine sawasawa ila kwenye shule wamekuja kuweka za secondary ingawa kwenye tangazo walionyesha kwamba watu wa Kiswahili na Geography wanatakiwa kuomba primary school, nakosea wapi...
  13. The real Daniel

    Maswali ya interview Afisa Nyuki daraja la pili Utumishi

    Wakuu naomba Kama kunamtu kashawahi kufanya interview za afisa nyuki; Anisaidie kupata maswali wanayo uliza utumishi. Asante Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
  14. The real Daniel

    Seria A yasimamishwa hadi April

    Wapenzi wa soka la Italia tutakosa kutazama soka mpaka mwezi wa nne baada ya Waziri Mkuu wa Italy kuisimamisha ligi kutokana na ugonjwa wa Corona. Itakumbukwa kuwa italy ni moja kati ya nchi ambazo ugonjwa huu unaenea kwa kasi sana. Hatujui kuhusu mechi za UEFA. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. The real Daniel

    Weka utabiri wako Yanga Vs Simba

    Mimi upande wange wangu: Yanga 1-3 Simba Wewe je? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. The real Daniel

    Je, UDSM wamewaita watu kazini, kwenye zile nafasi za Academicians?

    Wakuu nilibahatika kufanya interview UDSM mwezi wa Kwanza mwishoni nafasi ya tutorials. Ila bahati mbaya sikuchukua mawasiliano ya wenzangu ambao tulifanya pamoja, hivyo siwezi jua kama walishaita watu kazini ama vinginevyo. Naomba aliye na taarifa anijuze. Thanks Sent using Jamii Forums...
  17. The real Daniel

    Kukosekana kwa wachezaji wa Man City kwenye FIFA Pro inamaanisha nini?

    Pamoja na kutwaa mataji yote ya england na kufika robo fainali ya UEFA bado hakuna mchezaji yeyote wa city kwenye kikosi bora cha dunia. Imagine hata benardo hayupo. Cha ajabu unakutana na wachezaji 4 wa Real madrid, timu ambayo haikuwa na msimu mzuri. Mfano mtu kama marcelo alikuwa anapigwa...
  18. The real Daniel

    Kuadimika kwa kazi za Tutorial Assistance katika vyuo vya umma, chanzo ni nini?

    Mwaka huu wa fedha, vyuo vingi vya umma vinaonekana kuto ajili kabisa watu kwenye nafasi za tutorial assistant. Mwaka jana mwezi wa saba na wa nane vyuo vingi vilitoa chance hizo kwa vijana walio na vigezo. Lakini mwaka huu vyuo viwili tu ambavyo ni MUCE na Mzumbe vimetoa kazi lakini kazi hizo...
Back
Top Bottom