The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,817
Sheria: Ukimpa mwanafunzi ujauzito unafungwa miaka 30 ila binti atalea mtoto na Kkma familia inauwezo itampeleka private.
Binti: Kwakuwa sheria hainifungi jela na shule siitaki nafanya yangu hata nikipata ujauzito hakuna shida yoyote atajijua anayenipa hiyo mimba.
Maoni yangu: Sheria ingetafuta namna ya kubana pande zote ikiwezekana mwanamke naye awe na adhabu ya kwenda jera kwa kipindi fulani na siyo kumpa adhabu mwanaume tu.
Cha ajabu wazee wa haki za binadamu wanataka mwanamke azidi kupewa Uhuru zaidi wa kushika mimba muda wowote, kuzaa na kurudi shule.
View attachment 1718885