Search results

  1. tatanyengo

    Msaada: kuinua Spacio

    Naomba kufahamu kama inawezekana kuinua kidogo gari aina ya Spacio kwani iko chini. Je kufanya hivyo kunaweza kuleta madhara gani?
  2. tatanyengo

    Msaada: Xperia

    Naomba msaada wa namna ya kuifanya Memory Card iwe internal memory. Nimebaini kuwa simu yangu (Xperia) ina internal storage ndogo (1.82GB). Cha kushangaza kuna sehemu imeandikwa total space 16.00GB. Nikijaribu kudownload kitu kutoka Google store/play, inaniambia space is not enough. Msaada...
  3. tatanyengo

    Shule ya Mbuyuni Kutoa First Ladies Wawili

    Katika hali isiyo ya kawaida, kama itatokea Dr. Magufuli akashinda na kuwa rais, mke wake aitwaye Janet magufuli atakuwa ni mke wa pili wa rais kutoka shule ya msingi Mbuyuni. Shule hiyo ndiyo anayofundisha mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete. What a Coincidence!
  4. tatanyengo

    TANESCO mfumo wa manunuzi ni hovyo

    Samahani, tuna tatizo la kiufundi kwa sasa. Tafadhali jaribu tena baadaye. Asante kwa kutumia Vodacom. Hiyo ni sms inayotumwa na VODACOM wakati unajaribu kununua umeme. Tangu mchana najaribu kununua umeme, system ya TANESCO imefeli. Tafadhali shirika la TANESCO jipangeni kutoa huduma zinazoeleweka.
  5. tatanyengo

    Kuanzishwa Chuo Kikuu Butiama ni siasa

    Miaka kadhaa imepita tangu Rais Kikwete atangaze kuanzishwa kwa chuo kikuu cha kilimo huko Bitiama ili kumuenzi mwalimu. Baada ya muda mfupi ikatangazwa kuwa chuo kingine cha kilimo kitaanzishwa huko Katavi. Juzi tena nikasikia habari za Chuo kuanza mwezi March, 2015. Majengo yako na miundo...
  6. tatanyengo

    Vituko vya Wanasiasa katika Uchangiaji wa Maabara

    Ukiwa umebaki takribani mwezi mmoja kufikia kilele cha ujenzi wa maabara katika shule za sekondari zote nchini, kumeibuka tafrani katika maeneo mbalimbal nchini. Tafrani hizo zinatokana na wanasiasa kutumia mbinu mbalimbali ikiwezo nguvu katika kuwachangisha michango. Mfano, walimu katika...
  7. tatanyengo

    Ni kweli Rasimu si Msahafu..

    Spika wa Bunge Maalumu la Katiba amekaririwa akisema Rasimu ya katiba si msahafu. Kama hilo ni kweli mbona Rais alipoombwa kulivunja bunge hilo Mwanasheria mkuu wa serikali alisema Rasimu haina kipengele kinachomruhusu Rais kufanya hivyo. Kama Bunge maalumu linafanya kazi ya kurekebisha...
  8. tatanyengo

    Ziko wapi Sarafu za Sh.500/=?

    Kutokana na kuchakaa haraka kwa noti za sh.500, Benki kuu iliahidi kuwa mwanzoni mwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 watanzania tutaanza kutumia sarafu za sh. 500 ambazo zinaweza kudumu kwa miaka 20 bila kuchakaa. Binafsi mimi sijaziona sarafu hizo katika mzunguko. Mwenye taarifa naomba atujuze.
  9. tatanyengo

    Chuo cha UDOM chapandisha ada

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimepandisha ada kwa mwaka wa masomo 2014/2015 kwa shahada za Juu yaani Masters, Post Graduate Diploma na PhD. Mfano Masters (Full time) ada itakuwa 3, 425,000.00; PGDE 2,920,000.00 Masters (Evening):3,925,000.00; PhD fedha kwa ajili ya research itakuwa kuanzia...
  10. tatanyengo

    Hati Chafu: Hawa Ghasia Utaua Wananchi

    Agizo la waziri Hawa Ghasia la kuzinyima fedha halmashauri zitakapopata hati chafu ni kuwaonea na kutojali maendeleo ya wananchi. Ni vema waziri akawachukulia hatua viongozi wa halmashauri wanaosababisha ubadhilifu kuliko kusitisha ruzuku. Sisi wananchi tunahusika vipi hadi tusipate fedha...
  11. tatanyengo

    Yuko Wapi Philip Mangula?

    Katika harakati za kukiokoa Chama Cha Mapinduzi ilionekana kuwa Philip Mangula na Abdalahman Kinana wangeweza kufaa. Mangula akaukwaa Umakamu wa Mwenyekiti. Lakini cha kushangaza mzee Mangula hasikiki kabisa. Au ameona siasa wazifanyazo akina Kinana, Nape na Mwigulu za kukimbizana na wapinzani...
  12. tatanyengo

    Serikali, wanafunzi wako wanakufa njaa!

    Kuna wanafunzi wa baadhi ya vyuo ndani na nje ya nchi hawajapata fedha zao hadi sasa. Mbaya zaidi ni kwa wale wasomao nje ya nchi mfano Ujerumani (wanafunzi wa PhD) ambao wametishiwa hata kufukuzwa kwenye vyumba. Ni aibu kwani image ya nchi inachafuka. Jambo la kujiuliza ni kwamba bajeti...
  13. tatanyengo

    Maumivu ya Miguu na Mikono

    Hi JF Doctor Ni takribani miezi miwili sasa nasumbuliwa na maumivu ya miguu na mikono. Naweza kuhisi maumivu katika mguu wa kulia mara yanahamia wa kushoto na mikononi vivyo hivyo. Nilienda hospitali, ugonjwa haukuonekana lakini dokta akanishauri nitumie vidonge aina ya NEUTONE. Sijapata...
  14. tatanyengo

    Serikali Ifafanue Kuhusu EQUIP-T

    Mnamo tarehe 10/5/2014 katika kuhitimisha juma la elimu kitaifa, Makamu wa Rais alizindua Programu Mahsusi ya kuinua ubora wa Elimu Tanzania (EQUIP-T). Nimejaribu kufuatilia kwenye media lakini sijaona maelezo kuhusu programu hiyo itakavyoendeshwa. Nilifikiri tungejikita zaidi katika BRN kuliko...
  15. tatanyengo

    Magazeti yasusia mbio za Mwenge

    Pengine katika kudhihirisha kuwa watanzania wamechoka na mbio za Mwenge za kila mwaka, magazeti ya Tanzania hayaandiki tena habari hizo. Ikumbukwe kuwa mbio za mwenge kwa mwaka 2014 zilizinduliwa na Dr.Gharib Bilal tarehe 2/5/2014 katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Pia uzoefu unaonyesha kuwa...
  16. tatanyengo

    Ualimu wa Arts siyo kipaumabele HESLB

    Katika miaka ya hivi karibuni wahitimu wa masomo ya sekondari wamekuwa wakiomba kusomea ualimu ktk vyuo vikuu kwa lengo la kupata mkopo. Lakini kwa mwaka 2014/2015 kipaumbele ni kwa waombaji waliodahiliwa katika ualimu wa Sayansi na Hisabati. Kwa hiyo mwombaji wa ualimu wa arts usitegemee kupata...
  17. tatanyengo

    Soda ya Coca ilivyo hatari kwa afya

    Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, kinywaji aina ya Coca kinasemekana kuwa na madhara kama vile usahaulifu,maradhi ya ngozi na neva za mwili. Madhara hayo husababishwa na kemikali iitwayo Brominated Vegetable Oil (BVO). BVO huwekwa kwenye soda hiyo ili kuzuia viungo vingine visiachane.
  18. tatanyengo

    Ni haki HESLB kuikopesha DANIDA?

    Nimeshangazwa na habari kuwa katika kuokoa jahazi la STRABAG serikali imeomba bodi ya mikopo itoe fedha lakini bodi ikasema fedha ilienda DANIDA.Habari kamili iko kwenye thread kwenye jukwaa la siasa yenye kichwa: Kinana,serikali na pesa za wafanyakazi wa STRABAG - Part 2. Kwa mujibu wa habari...
  19. tatanyengo

    Vyuo vya Ualimu kuhamia NACTE

    Wanajamvi kuna tetesi kuwa vyuo vya ualimu vitakuwa vinaendeshwa na NACTE.Kama kuna yeyote mwenye kujua taarifa kamili naomba azimwage ili tujue nini kinajiri. Pia ningeshauri kuwa vyuo vya ualimu vinavyotoa diploma ya ualimu vijikite kutoa mafunzo ya kiufundi (kama VETA).Hii ni kwa sababu vyuo...
  20. tatanyengo

    Ujangiri: Tunahitaji dhamira kuliko vifaa

    Suala la ujangiri katika nchi yetu litaweza kupungua zaidi kwa wadau kuwa na dhamira ya dhati kuliko zana kama vile silaha na magari.Jana Rais alipokea magari kumi kwa ajili ya kupambana na majangiri. Binafsi nafikiri kama hakuna political will,magari hayo yanaweza kutumika kurafirishia pembe za...
Back
Top Bottom