Maumivu ya Miguu na Mikono

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Hi JF Doctor

Ni takribani miezi miwili sasa nasumbuliwa na maumivu ya miguu na mikono. Naweza kuhisi maumivu katika mguu wa kulia mara yanahamia wa kushoto na mikononi vivyo hivyo.

Nilienda hospitali, ugonjwa haukuonekana lakini dokta akanishauri nitumie vidonge aina ya NEUTONE.

Sijapata nafuu bado, nifanyeje ndugu zangu wataalamu?
 
Pole Sana ndugu Yangu jaribu miti shamba mcheki huyu Mzee atakusaidia0656007439
 
POle sana. Ntafute tuzungumze nikulekeze maana kuna matibabu ya mazoezi na mengine ambayo unatakiwa umhoji mtu ndipo umshauri cha kufanya. Lakini hakikisha umepima vya kutosha hospital. +255 689 417 472
 
Back
Top Bottom