Ziko wapi Sarafu za Sh.500/=?

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Kutokana na kuchakaa haraka kwa noti za sh.500, Benki kuu iliahidi kuwa mwanzoni mwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 watanzania tutaanza kutumia sarafu za sh. 500 ambazo zinaweza kudumu kwa miaka 20 bila kuchakaa. Binafsi mimi sijaziona sarafu hizo katika mzunguko. Mwenye taarifa naomba atujuze.
 
Back
Top Bottom