tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, kinywaji aina ya Coca kinasemekana kuwa na madhara kama vile usahaulifu,maradhi ya ngozi na neva za mwili. Madhara hayo husababishwa na kemikali iitwayo Brominated Vegetable Oil (BVO). BVO huwekwa kwenye soda hiyo ili kuzuia viungo vingine visiachane.