tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
Naomba msaada wa namna ya kuifanya Memory Card iwe internal memory. Nimebaini kuwa simu yangu (Xperia) ina internal storage ndogo (1.82GB). Cha kushangaza kuna sehemu imeandikwa total space 16.00GB. Nikijaribu kudownload kitu kutoka Google store/play, inaniambia space is not enough. Msaada tafadhali!