Ujangiri: Tunahitaji dhamira kuliko vifaa

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Suala la ujangiri katika nchi yetu litaweza kupungua zaidi kwa wadau kuwa na dhamira ya dhati kuliko zana kama vile silaha na magari.Jana Rais alipokea magari kumi kwa ajili ya kupambana na majangiri. Binafsi nafikiri kama hakuna political will,magari hayo yanaweza kutumika kurafirishia pembe za ndovu na nyara nyingine za serikali. Pia sheria zinazohusu ujangiri zipitiwe upya. Mfano wachina waliohukumiwa jana kifungo cha miaka mitano au faini ya milioni moja.
 
Tunahitaji vifaa,na dhamira njema na ya dhati,yote kwa pamoja yauweke uzalendo mbele,utaifa mbele.
 
Back
Top Bottom