Serikali Ifafanue Kuhusu EQUIP-T

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Mnamo tarehe 10/5/2014 katika kuhitimisha juma la elimu kitaifa, Makamu wa Rais alizindua Programu Mahsusi ya kuinua ubora wa Elimu Tanzania (EQUIP-T). Nimejaribu kufuatilia kwenye media lakini sijaona maelezo kuhusu programu hiyo itakavyoendeshwa. Nilifikiri tungejikita zaidi katika BRN kuliko kuanzisha mipango mingine in between.
 
Back
Top Bottom