TANESCO mfumo wa manunuzi ni hovyo

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Samahani, tuna tatizo la kiufundi kwa sasa. Tafadhali jaribu tena baadaye. Asante kwa kutumia Vodacom. Hiyo ni sms inayotumwa na VODACOM wakati unajaribu kununua umeme. Tangu mchana najaribu kununua umeme, system ya TANESCO imefeli. Tafadhali shirika la TANESCO jipangeni kutoa huduma zinazoeleweka.
 
Kila ukifika mwisho wa mwezi ndo mchezo wao. Mitandao ya tigo na airtel majibu ni hayo. Tanesco wamekimbilia technolojia ya luku wakati hawana uwezo wa kuiendesha. Nawashauri warudi kwenye mita za zamani. luku zimewashimda. Sasa wateja watapata hasara maana huduma ya luku hakuna tàngu jana.
 
Back
Top Bottom