tatanyengo JF-Expert Member Mar 30, 2011 1,134 280 Sep 29, 2016 #1 Naomba kufahamu kama inawezekana kuinua kidogo gari aina ya Spacio kwani iko chini. Je kufanya hivyo kunaweza kuleta madhara gani?
Naomba kufahamu kama inawezekana kuinua kidogo gari aina ya Spacio kwani iko chini. Je kufanya hivyo kunaweza kuleta madhara gani?