Ni kweli Rasimu si Msahafu..

Ni kweli Rasimu si Msahafu..

tatanyengo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,133
Reaction score
282
Spika wa Bunge Maalumu la Katiba amekaririwa akisema Rasimu ya katiba si msahafu. Kama hilo ni kweli mbona Rais alipoombwa kulivunja bunge hilo Mwanasheria mkuu wa serikali alisema Rasimu haina kipengele kinachomruhusu Rais kufanya hivyo. Kama Bunge maalumu linafanya kazi ya kurekebisha, kuboresha, kuingiza au kuanzisha sura mpya kwanini wasiingize kipengele cha 'Rais anaweza kulivunja au kuahirisha bunge iwapo ....'
 
Back
Top Bottom