tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Agizo la waziri Hawa Ghasia la kuzinyima fedha halmashauri zitakapopata hati chafu ni kuwaonea na kutojali maendeleo ya wananchi.
Ni vema waziri akawachukulia hatua viongozi wa halmashauri wanaosababisha ubadhilifu kuliko kusitisha ruzuku.
Sisi wananchi tunahusika vipi hadi tusipate fedha. Waziri anawaogopa viongozi wa halmashauri au ana maana gani?